Something interesting regarding those who believe and those who don't believe in God ! Very interesting. It stimulates our lateral thinking :
This lovely parable is from "Your Sacred Self" by Dr...
Totemism is a system of belief in which each human is thought to have a spiritual connection or a kinship with another physical being, such as an animal or plant ..
inasemekana kwa faklsafa hii...
Tafsiri rahisi ya neno uchafu kiujumla ni kitu chochote kilichopo mahala ambapo si pake.
Sasa kuna aina fulani ya viumbe nikiwatafakari uwepo wao kwenye sayari fulani ni sawa kabisa na kitu...
Ninaposoma kazi za haya majeshi mawili ya marekani nashindwa kudadavua vizuri.
Marekanj ina majeshi makuu matano.
La kwanza ni Army jeshi la ardhini, marine jeshi la majini, Navy jeshi la wana...
Soma hii series kisha uamue mwenyewe!
Hadithi inaanzia hapa:
Jason Bourne
RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011 (Kama hukupata kuisoma, isome hapo chini...
Wakuu asalaam,
Leo katika pitapita zangu kitaani baada ya kutoka chachi nikakutana na jamaa, baada ya kuniona na biblia akaniuliza yafuatayo;
1. Kama kweli gharika kuu ya Nuhu ilitokea, Je...
Jambo la kuwepo kwa uhai ktk sayari nimelifananisha na tendo la ndoa kwa maana hii...
Ktk tendo la ndoa mpaka kupatikana mtoto huwa kuna sperm nyingi sana hupotea kama sikosei ni million na...
Habari zenu wana JF,
Kuna kitu nimekiwaza na kukitafakari kwa muda wa kama siku 3 hivi lakini bado sijapata majibu yake. Basi nipo hapa kuomba msaada wa kueleweshwa kiundani kwa watu wenye uelewa...
Wanasayansi nchini Japan wanasema wametambua kemikali ambayo inaunda sehemu ya ndani kabisa ya dunia.
Kemikali hiyo imekuwa ikitafutwa kwa miaka mingi, na inaaminika kuwa sehemu kubwa ya kitovu...
Kazi imeanza haya wenye Kazi zenu hizi za Kijasusi ambao najua mpo wengi mno humu JF na mmejazana hebu tupeni ukweli wa hii taarifa ya Serikali ya nchini Malawi kuwa imewakamata Majasusi wanane (...
Huwa nashangaa kweli watu tukishukuru Wazazi hasa Mama eti kwa kukuleta duniani.
Kuna kipi hasa cha maana huku duniani mpaka uwashukuru hao wazazi?
Yani tumetengeneza kitu kwamba huko ulikokuwepo...
Our universe, according to Einstein's theories, is around 13.8 billion years old and formed from an infinitely small point during the Big Bang (illustration pictured) While most people accept this...
Amani iwe nanyi Kama vile ilivyodesturi kwangu.
Historia ya dunia imegubikwa na mambo mengi ya kutia mashaka, imevishwa Koti la uwongo na propaganda za kibinafsi kwa kuwanufaisha wachache huku...
Tuchukulie mfano wa Snowden, yule mmarekani aliyeomba hifadhi Urusi. Huyu jamaa kamwaga siri nyingi sana za Marekani hadharani kupitia mtandao. Sasa baada ya kuona kaharibu akaenda Urusi kuomba...
Mara nyingi nikilala muda wa usiku hasa saa kumi na moja kuna kitu hunijia na kukaa mwilini kiasi kwamba huwa nashindwa kupumua, kuna wakati huwa kikinikalia huwa nasikia kikitoa pumzi, siyo hapo...
UNAPOSIKIA maneno “nafsi” na “roho,” wewe unawaza kuwa ni nini? Wengi wanaamini kama maneno hayo yanamaanisha kitu fulani kilicho ndani ya mutu, na kitu hicho hakiwezi kufa wala hakionekani...
Habari wakuu.
Dunia nzima kama sio sehemu kubwa ya dunia tumeaminishwa kuwa kuna aina mbili za namba.Hata mimi nilijua hivyo hadi nilipokutana na maelezo hayo.
Namba za KIARABU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.