Wana Jukwaa salaam. Napenda kujuzwa, ni nini huwa kinasababisha moto kuwaka kwenye ile misitu ya nchi za magharibi (Marekani na Urusi) kwa mfano hasa kipindi cha baridi kali? Nijuavyo mimi dawa...
Many people are baffled by the difference between the God of Being and the God of Becoming, but the difference could not be starker. The first is impossible and the second certain. Why do so many...
Wa JF habari zenu!!
Kuna jambo ambalo linanisumbua ambalo nahitaji ufafunuzi wenu hasa wale watu ambao wamejaliwa kupewa jicho la tatu katika imani ya dunia hii.
Hapa dunian kuna watu ambao wana...
Katika mkusanyiko wa sayari nyingi na nyota mbalimbali kunauwezekano mkubwa kwenye sayari zingine mamilioni kukawa na viumbe hai.
Kwakutumia formula za kimahesabu uwezekano wa kuwepo viumbe...
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?
Habari wanaJF,
Naomba niwashirikishe ndoto yangu;
Nikiwa chuo mwaka wa pili semister ya kwanza tulikuwa katika chumba cha mtihani mchana, tulikuwa tunafanya Financial Accounting kiukweli yale...
There is a great debate around this subject but the idea to start this thread specifically came after I saw a thread under Uchaguzi sub-forum that said, "Tanzanians have proven to have lowest IQ...
Habari wana intelligence.
Mwaka 2006 nikiwa darasa la 4 shule ya msingi huko kijijini kwetu, nikiwa nimelala usiku wa manane niliota nikiwa shule kama kawaida, kwenda na kurudi kama ilivyo haya...
Kila wazo, Kila neno, Kila tendo, ni kama sala.
Kutokana na kuwa kila wakati kuna kinachoendelea katika ufahamu wako basi tambua kuwa kila wakati kuna uumbaji unaendelea katika ulimwengu...
Jina hasa la Ibn Sina ni Abu 'Ali al-Husayn bin ‘Abdillaah bin Sina (alizaliwa mwaka 980 katika mji wa Afshana karibu na mji wa Bukhara. Na wengine wanasema alizaliwa mji wa Balkh huko...
Nilipata mshtuko mkubwa nilipokutana na hii habari hapo jana. Nikajaribu kuitafuta humu JF ili niisome kwa kina ila sikufanikiwa kuiona. Nimeona ni iilete ili tuweze kuitizama kwa pamoja. Kama ipo...
Ifahamike kuwa kuanzia tarehe 11 hadi 20 ya kila mwezi wa nne kila mwaka huwa ni siku mahususi za kutoa sadaka (kafara) kwa Wajenzi Huru katika lugha ya kigeni ( Freemasons ) kwa kile kinachoamika...
ndugu zangu wanaJF, Kwanza kabisa habari zenu.
Ndugu zangu nimepata kuona mada na maswali mengi tu kuhusiana hayo hapo kwenye kichwa cha thread. Na kimsingi hii si thread,bali ni taarifa tu kwenu...
Oil and gas exploration companies operating in the country pay foreign private security companies US$3 million (about over 6bn/-) annually, which the Controller and Auditor General (CAG) says was...
If God knows everything, then you can't really change your future. It's pre-written.
But there's free will. So, you can choose or not to go to hell?
Also, when a man impregnates a woman, is he...
Wanaukumbi,
Christopher Columbus ni jina linalohusishwa uvumbuzi la bara la Amerika. Potelea mbali utata wa kama ndiye aliyefika wa kwanza maeneo hayo au la. Inajulikana pia kuwa Columbus alikuwa...
1. Money is hidden in Ideas: Which idea do you have? What idea has been on your mind, most dominant and you are afraid to carry it out. Someone once said that the grave is full of men with ideas...
Nimeona kwamba sasa hivi Dar popote unapo park gari unabidi ulipe.Sasa swali langu ni je fedha hizo zinaenda wapi?Maana sijaona sehemu zenye alama zozote za parking.Je ni kweli kuwa parking...