Kiukweli Intellijensia ya Marekani wako makini sana.
Kuna gaidi mmoja wa ISIS alijipiga selfie mbele ya makao makuu yao alafu akaituma kwenye Social Media.Baada ya muda mfupi jamaa wa Intelijensi...
Wengi wa wanadamu wamechanganyikiwa, hawajui wawe na msimamo wa imani juu ya nguvu gani kiroho. Wengi wameishia kuwa vuguvugu, si moto wala si baridi!
Kwa mganga wa kienyeji wanaenda na kinga...
Nimekuwa Interested kujua habari za hivi viumbe (kama vipo), coz habari zake na mambo yanayosemekana kufanywa na hivi viumbe ni superb. But my question is where is common living place of Aliens in...
NINI MAANA YA INTELLIGENCE (SECRET INFO)??
secret information about the governments of other countries, especially enemy governments, or a group of people who gather and deal with this...
Wadau,
Kuna nguvu fulani katika mwili wa binadamu zenye kumvuta mtu kwa namna ambayo mtu huyo anayevutwa lazima avutike atake asitake. Ni mithili ya zile alizo nazo chatu kwa mbwa. Wengi hufikiri...
Habari za jiona wana jf leo na muda na siku ka.a ya leo napenda kuwasilisha haya.
Katika milima ya urugulu inayopatikana katika mkoa ww morogoro kuna hadith zipo miaka na miaka kuwa katika...
They both use very similar entry techniques, to relax and calm the mind. They are both very powerful self development tools, but that is where the similarity ends.
In my experience of hypnosis...
Pentagram ni ishara ya nyota encased katika mduara. Daima na pointi 5 (moja akizungumzia zaidi), kila mmoja ana maana yake mwenyewe. Hatua zaidi ya nyota ni mwakilishi wa roho. Pointi wengine...
Ninaandika haya nikiwa na ushahidi wala sio mambo ya kusimuliwa.
Nilipokuwa mdogo, kuna stori za mtaa kwamba Padri flani akikulaani inakupata. Nikawa na wasiwasi juu ya hilo, lakini katika kukua...
Wazo ni mtazamo au fikra inayobebwa akilini kutokana na uwezo wa kufikiria. Kutokana na hali ya KUFIKIRIA ambayo ni hali ya akili, mawazo au wazo huwepo. Kama kungekuwa hakuna kufikiria au...
Wakuu,
Nimeulizwa hilo swali na kijana wangu Jana, lakini kwa vile mile sayansi kwangu ni Giza nikabaki nakodoa macho tu.
Msingi wa swali ni kuwa umbali toka kwenye jua mpaka duniani...
Habari wapendwa,
Leo nataka nilete mjadala kwenu kuhusu kuwa Muotaji Hai. Mimi binafsi hii hali ishanikumba na mpaka sasa hujitokeza, na ilikuwa kama hivi;
Nilikuwa nikipenda kuota nikiwa mtu...
Nakushauri ujiunge na hii cult. Ukijiunga utakuwa in very distinguished company;. Pope Francis, Queen Elizabeth. Their bussiness? Raping and killing children. Ule uvumi uliosikia kwamba Papa...
Nawasaliamia wana JF wote kwa pamoja,
Sayari yetu imeishi sasa mda mrefu. Kuna viumbe vingi sana vilivyo kwenye hii dunia. Kuna theory mbali mbali za uwepo wa hii dunia. Kuna moja inahusika na...
Swali kutoka kwa Wadau tofauti lenye Maudhui Sawa;
Habari wana jamvi,
Kuna kajambo kadogo ningependa pata ufafanuzi kwa yeyote mwenye uelewa. Nimejaribu kusearch humu sijaona bandiko...
Habari zenu wakuu!!
Mara nyingi nimekuwa nikiota ndoto moja mda mrefu sana na ndoto inayonitesa sana. Naweza kukaa week mbil au moja ikajurudia ila haipiti mwezi sijaota. Nimekuwa nikiota na kula...
Kuna watu wengi husema eti kuna baadhi ya waganga huwa wanaweza kukuonyesha tv asili na ukaona picha kama kuna mtu alikufanyia ubaya ukamuoa live mie nimejaribu kupita kwa hao waganga wanao...
Habari za wakti huu!
Kwenye maisha tunaishi na watu wa aina na makundi mbalimbali, ningependa kujua mengi juu ya kundi hili la hawa watu wenye matatizo ya akili (vichaa). Wengi wao tupo nao huku...
Wana JF katika pitapita zangu nimekutana na kiwanda cha chuma kinaitwa SITA STEEL, na katika kuchunguza nikaambiwa kuwa hiki kiwanda ni cha waziri aliyejipambanua kama mpambanaji na ufisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.