Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Kiukweli Intellijensia ya Marekani wako makini sana. Kuna gaidi mmoja wa ISIS alijipiga selfie mbele ya makao makuu yao alafu akaituma kwenye Social Media.Baada ya muda mfupi jamaa wa Intelijensi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wengi wa wanadamu wamechanganyikiwa, hawajui wawe na msimamo wa imani juu ya nguvu gani kiroho. Wengi wameishia kuwa vuguvugu, si moto wala si baridi! Kwa mganga wa kienyeji wanaenda na kinga...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa Interested kujua habari za hivi viumbe (kama vipo), coz habari zake na mambo yanayosemekana kufanywa na hivi viumbe ni superb. But my question is where is common living place of Aliens in...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Which brings chaos, knowledge or ignorance ?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NINI MAANA YA INTELLIGENCE (SECRET INFO)?? secret information about the governments of other countries, especially enemy governments, or a group of people who gather and deal with this...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau, Kuna nguvu fulani katika mwili wa binadamu zenye kumvuta mtu kwa namna ambayo mtu huyo anayevutwa lazima avutike atake asitake. Ni mithili ya zile alizo nazo chatu kwa mbwa. Wengi hufikiri...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari za jiona wana jf leo na muda na siku ka.a ya leo napenda kuwasilisha haya. Katika milima ya urugulu inayopatikana katika mkoa ww morogoro kuna hadith zipo miaka na miaka kuwa katika...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
They both use very similar entry techniques, to relax and calm the mind. They are both very powerful self development tools, but that is where the similarity ends. In my experience of hypnosis...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Pentagram ni ishara ya nyota encased katika mduara. Daima na pointi 5 (moja akizungumzia zaidi), kila mmoja ana maana yake mwenyewe. Hatua zaidi ya nyota ni mwakilishi wa roho. Pointi wengine...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ninaandika haya nikiwa na ushahidi wala sio mambo ya kusimuliwa. Nilipokuwa mdogo, kuna stori za mtaa kwamba Padri flani akikulaani inakupata. Nikawa na wasiwasi juu ya hilo, lakini katika kukua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wazo ni mtazamo au fikra inayobebwa akilini kutokana na uwezo wa kufikiria. Kutokana na hali ya KUFIKIRIA ambayo ni hali ya akili, mawazo au wazo huwepo. Kama kungekuwa hakuna kufikiria au...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, Nimeulizwa hilo swali na kijana wangu Jana, lakini kwa vile mile sayansi kwangu ni Giza nikabaki nakodoa macho tu. Msingi wa swali ni kuwa umbali toka kwenye jua mpaka duniani...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Habari wapendwa, Leo nataka nilete mjadala kwenu kuhusu kuwa Muotaji Hai. Mimi binafsi hii hali ishanikumba na mpaka sasa hujitokeza, na ilikuwa kama hivi; Nilikuwa nikipenda kuota nikiwa mtu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nakushauri ujiunge na hii cult. Ukijiunga utakuwa in very distinguished company;. Pope Francis, Queen Elizabeth. Their bussiness? Raping and killing children. Ule uvumi uliosikia kwamba Papa...
7 Reactions
80 Replies
11K Views
Nawasaliamia wana JF wote kwa pamoja, Sayari yetu imeishi sasa mda mrefu. Kuna viumbe vingi sana vilivyo kwenye hii dunia. Kuna theory mbali mbali za uwepo wa hii dunia. Kuna moja inahusika na...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Swali kutoka kwa Wadau tofauti lenye Maudhui Sawa; Habari wana jamvi, Kuna kajambo kadogo ningependa pata ufafanuzi kwa yeyote mwenye uelewa. Nimejaribu kusearch humu sijaona bandiko...
3 Reactions
74 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu!! Mara nyingi nimekuwa nikiota ndoto moja mda mrefu sana na ndoto inayonitesa sana. Naweza kukaa week mbil au moja ikajurudia ila haipiti mwezi sijaota. Nimekuwa nikiota na kula...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Kuna watu wengi husema eti kuna baadhi ya waganga huwa wanaweza kukuonyesha tv asili na ukaona picha kama kuna mtu alikufanyia ubaya ukamuoa live mie nimejaribu kupita kwa hao waganga wanao...
1 Reactions
48 Replies
18K Views
Habari za wakti huu! Kwenye maisha tunaishi na watu wa aina na makundi mbalimbali, ningependa kujua mengi juu ya kundi hili la hawa watu wenye matatizo ya akili (vichaa). Wengi wao tupo nao huku...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wana JF katika pitapita zangu nimekutana na kiwanda cha chuma kinaitwa SITA STEEL, na katika kuchunguza nikaambiwa kuwa hiki kiwanda ni cha waziri aliyejipambanua kama mpambanaji na ufisadi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…