Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Vyombo vya Habari vimeripoti juu ya jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililongozwa na Godefroid Niyombare, meja jenerali mstaafu wa jeshi la Burundi kuipinduwa serikali ya Raisi Piere Nkurunzninza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imegundulika kua rais obama alidanganya kwa wananchi kuhusu taarifa za kuuliwa kwa Osama,alisema kua Pakistan haikujua lolote kuhusu mission ya marekani kumuua Osama wakati Osama alikua...
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Habari wana JF jukwaa la intelijinsia.. Eti nifate steps zipi ili niweze kumpata jini na je nikishampata nifate masharti yapi ili asitoroke.. NB: Namtafuta jinni wa kusimamia biashra zangu pia...
1 Reactions
63 Replies
28K Views
Amani iwe nanyi. Ama baada ya salaam ningependa kuzungumzia mada tajwa hapo juu kama inavyosomeka kuwa ni kwa nini watu hufanya maasi (DHAMBI) wakati anayefanya watu watende dhambi huwa...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Viongozi, A few years ago Ron Paul, who has been a presidential candidate in the US struggled to get an answer from the US treasury and the IMF as to why member states of the IMF are not allowed...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku zote tetesi inayohusiana na mambo ya usalama wa nchi ni lazima ifanyiwe kazi haraka.hivi karibuni kumeibuka matukio ya igaidi katika maeneo mbalbali ya nchi yetu ikiwemo kilombero.na...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Siku zote tetesi inayohusiana na mambo ya usalama wa nchi ni lazima ifanyiwe kazi haraka.hivi karibuni kumeibuka matukio ya igaidi katika maeneo mbalbali ya nchi yetu ikiwemo kilombero.na...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Je unazijua namba za matapeli? Zibandike hapa ukieleza utapeli wao unahusika na nini ili wana jamii forums wajiepushe nao na vyombo husika vipate taarifa vishughulike nao.Karibuni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini? Karibuni.
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Watumishi wote wa Bank wanafanana kwa kuwa na alama au mchoro M katika viganja vyao. Hapo ndipo napouliza kwanini iwe hivyo? Yaani mtumishi yoyote wa bank yupo katika kundi la wenye kiganja chenye...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Nchi imekua kiutandawazi, Tanzania ya leo si ya mwaka 1978, Uhalifu wa kutumia silaha umeongeza, ugaidi ndio kila kukicha utekaji nyara nao unashika kasi, Hivi, tulishawahi kujiuliza yaliyotokea...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau, Naomba tujiuliulize hili swali na kwa mwenye majibu ataweza tupatia. Kwa nini siku mpya huanza kuhesabiwa usiku wa manane na si pale jua linapochomoza? Karibuni tupeane ujuzi wa swala hili
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Can non theists defend their belief position that No God exists - or is non theism a mindless belief held without evidence or arguments? I have never heard an non theist offer arguments or...
6 Reactions
366 Replies
60K Views
Hivi karibuni kumeibuka maswali mengi juu ya idadi ya Wayahudi waliopoteza chini ya Adolf Hitler. Utata huu unachangiwa na report za sensa za idadi ya Wayahudi duniani kabla na baada ya vita kuu...
9 Reactions
275 Replies
34K Views
Usiku wakati nimelala nimeota nafanya kazi sehemu ya hatari sana, sikujua ni floor ya ngapi lakini ilikuwa juu sana, pia kama ningefanya uzembe ningeanguka na matokeo yake yangekua mabaya sana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Kichwa cha habari kinajieleza. Ningependa kufahamishwa kwa nini mtu akitaka kufanya jambo baya utasikia akisema NITAKUFANYIA UMAFIA au utasikia akisema MIMI NI MAFIA...
0 Reactions
70 Replies
24K Views
Wadau; Nimeshuhudia baadhi ya watu wakivaa mavazi na kuweka badge ya bendera ya Taifa la Tanzania Mfano vazi la suti alafu kunakuwa na ki badge cha bendera Nini maana ya hii badge? Je ni kila...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nimekuwa nikijiuliza! Hivi kwanini wahamiaji wanaovuka bahari kuingia Europe kutoka Afrika ya kaskazi huwa boti zao zina zama mara kwa mara au Nyani Wamezidi Europe Wanaamua Kudhibiti wimbi la...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Friedrich Hegel (August 27, 1770 – November 14, 1831) mwanafalisafa wa kijerumani alishawahi kuchambua uwezo wa binadamu duniani na katika uchambuzi wake sisi waafrika (kusini mwa jagwa la sahara)...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Bristling with state of the art weaponry, armed with a remote control turret, and equipped with outer armour that explodes on impact to stop shells reaching the crew inside - this is the new...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom