Hi wana jukwaa, hivi maeneo kama Kivukoni n.k ambapo wamepiga marufuku kupiga picha ni kwa sababu gani? Na sometimes akipiga mzungu wanamuacha hawamsumbui kama mtz
Mkewe ndugu Karume Shady yuko hapa Berlin .Kuna maonyeshoi makubwa sana Utalii yanaitwa ITB na Tanzania wameleta makampuni yapatayo 70.Katika msafara huo wa Zanzibar yuko Mama Shady ambaye sasa...
Nimekuwa nikifikiria kila wakati na kutaka kujua kama kuna viumbe kwenye sayari zingine. Juzi tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale. Jamaa mmoja akaanza kutuelezea kuwa kunaviumbe NASA...
Mama Joyce Banda the immediate former presiar for Malawi had been pushed by her people to grab Lake Nyasa (they call it lake malawi) with the pretext that the lake it was prescribed to be Malawi's...
History is full of examples of human ingenuity run amok. Weapons design is no exception.
A group of Quora users sought to answer the question "What are some historical weapons that most people...
Top travel destinations like Paris and New York get so many visitors each year that trips to these destinations can be disappointing experiences filled with crowded tourist sites, overpriced...
Habari,
Hivi huyu binadamu wa kwanza kunywa maji pamoja na kula chakula, alifundishwa na nani? na siku hiyo ilikuaje? Alijuaje kwamba nikijisikia hivi ninatakiwa nitafute chakula? nikijisikia...
napenda kujua kama Tanzania pia kuna Familia Zenye Nguvu kama Hizo hapo chini na Nyinginezo
..Nguvu katika Uchumi/biashara
..Nguvu katika Utawala/siasa
Haya majeshi makubwa nchini Tanzania ni jeshi lipi linamzidi mwenzake kiujuzi,mazoezi,kuwa na wasomi wengi,mishahara,na mengineyo!
Je vyeo vyao vinafanana?
Je kwa maswala ya mafunzo...
Habari wana intelijensia!
Na hoja kidogo hapa! Chanzo ama asili ya lugha ni nini? Je, nina weza kugundua kueneza na kukuza lugha mpya? Inawezekana hili? Tujadili!!
In today's world to hide the motives will be near to impossible due to advancement in technology and era itself in general.
1. Site an example that Gadaffi is a detector, lets remove him! Now we...
Wakuu heshima kwenu,
Naomba kufahamu mfumo wa ulinzi wa Israel,teknolojia kwenye upande wa uzalishaji wa silaha nzito na uwezo wake wa kijeshi kiujumla duniani.
Ni hayo tuu wadau.
Habari zenu wakati jamvi.
Naomba kujuzwa. Hivi vikundi vya waasi, maharamia, magaidi nakadhalika. Huwa wanapata wapi silaha, mafunzo na vifaa vingine vya kijeshi? Huwa vinapitishwa wapi ili...
Muhammad Anwar El Sadat alikuwa Rais wa tatu wa Misri , kuwahudumia kutoka Oktoba 15, 1970 mpaka Januari 1981.
Sadat alikuwa Mwanachama mwandamizi huru aliyeshiriki katika mapinduzi ya King...
KILA mzazi anapenda kuona maendeleo ya mwanae yanafanikiwa kwenye maisha. Lakini Jitihada za mzazi/Mlezi zinafikia kikomo pale mtoto anapoonesha ukaidi wa kutosikia maoni, ushauri, na hata...
Habari wana JF,
Naomba kusaidiwa kujua jibu la swali langu, ni vigezo gani vinazingatiwa wakati wa kuchapishwa pesa?
Kwa mfano Tanzania ikitaka idadi ya noti za shilingi 10,000 zichapishwe...
9 May 2014
Russia has been showing off its military muscle in the annual Red Square parade marking victory over Nazi Germany while the world's attention is focused on Ukraine.
AFP
President...
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata Alquine Claud (42) mkazi wa Yombo Buza wilayani Temeke kwa tuhuma za kujifanya ofisa Usalama wa Taifa.
Akizungumza na waandishi wa...
Desminders ni watu ambao hawajali kujua kuhusu mambo mbalimbali yanayo tokea katika maisha yao ya kila siku.
Mambo hayo yanaweza kuwa yanawahusu wao wenyewe, rafiki...