From Wahhabi Islam to the Muslim Brotherhood
1902-1928
1902
Birth of Saudi Arabia
Revival of Wahhabi Islam
For Political Gain
1902. Ibn Saud, local tribesman of Arabian Peninsula, captures...
Wadau,nimemsikia waziri wa mambo ya nje Mh.bernard membe akizungumza ktk kpnd cha dakika 45 hv hii inaweza kuwa kweli?
Naombeni mnifahamishe ni vigezo gn wanavyo2mia ku rank?
Au ndo propaganda...
Natazama maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar, hii mikomandoo imeshiba, miili ka ya Goliati, mmh burudani kutazama na ni mahili ktk maonesho! Sipati picha ukikutana nayo in battle field. Safi sana...
I am....
The NIHILIST basing on Plato's point of view (IN DAILY LIFE NOTHING IS OF SERIOUS IMPORTANCE). And that of King Solomon, in his book of Ecclesiastes (in the bible).
I...
Utabiri,utabiri,utabiri ili uwe mtabiri ni vitu gani unapaswa kuvizingatia?je utabiri unahusishwa na majini? je mtu yeyote anaweza kuwa mtabiri? je utabiri ni kipaji born with? kwa wale watabiri...
Kutoka na hali ya ulipuaji mabomu katika jiji la Arusha unaoendelea wakati huu wa ujio mkubwa wa watalii nilazima serikali iimarishe ulinzi kwenye maeneo yafuatayo.
Hotel zote za kitalii...
If:
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z - Is equal to; 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26
Then;
H+A+R+D+W+O+R+K ; 8+1+18+4+23+15+18+11=98%...
Heshima mbele wakuu wangu.
Nimekuwa nikijiuliza swali hili mara nyingi bila kupata majibu. Nini hasa maana ya maisha? Tunapo sema binadamu "UHAI" umemtoka na hana maisha tunamaanisha nini hasa...
Katika uongozi haswa nafasi ya juu ya ukuu wa nchi muongozaji wa nchi kwa maana ya raisi huwa na mamlaka makubwa sana ila zaidi na zaidi mamlaka hayo ugawanyika katika sehemu kuu mbili mbazo ni...
leo nataka tuingie darasani kidogo ila ntalifupisha somo, nadharia ya uhalifu ni sababu zinazofanya watu aina Fulani kupendelea kufanya makosa ya aina Fulani mfano vijana wa miaka ishirini...
normally in this type of suicide, the victim will stand on a tall stool and then kick it down for him to be strangled.
studying carefully the above pics you will notice that the stool is still...
Hodi wana Jamvi na watanzania wenzangu,
Imelanilazimu kandika humu ili kutoa mtazamo wangu kuhusu yanatokea katika jamii yetu hasa kuhusiana na uhalifu na wahalifu panya road wakiwa ni sehemu tu...
Habali wana jf
hil jambo huwa linanifikilisha sana hivi ni sayansi gani wanayoitumia wenzetu kucheza filamu na wanyama
mfano wa filamu hzo
ANACONDA
KINGCON
PILONA(samaki wa bahalin)
wana...
1. John D. Rockefeller
Adjusted wealth*: $253 billion
Lived: 1839-1937
Rockefeller made his fortune by revolutionizing the oil industry. Before his time, lamp oil...
Tangu ameondoka madarakani sijasikia tena polisi wakiuwa wananchi hasa mashabiki na wapenzi wa cham tukufu CHADEMA. Tulizoea kuona Mwema akihalalisha mauaji kwa kusingizia itelijensia n.k...
Ni lugha ipi ambayo mtu huitumia wakati anafikiri? binafsi nimeshindwa kujua lugha nnayotumia wakati wa kufikiri(sio kuzungumza),
Vipi kwa wale wanaotumia lugha zaidi ya moja ktk kuzungumza, je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.