Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Naomba tujadili hili wakuu, kutokana na mazingira ya miili yetu kuwa tofauti, je haiwezi kuathiri mifumo yao ya akili hivyo kuwa na uwezo tofauti wa kufikiri? Michakato mbalimbali ktika miili ya...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari, Hiyo document kwenye Attachment ni Term Pay au kwa lugha nyepesi reference ambayo unaweza kwenda kuona range ya mishara inalipwa na taasisi za serikali,mashirika binafsi n.k. Mafunzo mema.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Serikali ya Marekani huwa haina utani ktk ishu nzima ya usalama wake na vitega uchumi vyake.Hivyo imewekeza sana katika teknologia za ulinzi na kuvita kupitia makampuni kama Lockheed Martins Boeng...
9 Reactions
70 Replies
27K Views
Kwakweli jambo hili nimelisikia kutoka kwa mtu ambaye sina shaka na upeo wake kwamba tangu utawala wa Hitler kuangangushwa nchini Ujerumani watoto waliozaliwa na wanaoendelea kuzaliwa mpaka leo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Boss wa TBS sasahivi anatumikia kifungo japo ni kifupi, lakini angalau inatia moyo. Leo Boss wa MSD,katinga kwa Pilato kuhukumiwa kwa ufisadi wake. Sasa anayefuata nihuyu aliyesini mkataba wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajeshi hao wa jeshi la nchi ya NEPAL wakiwa wanaonyesha vyeti vyao vya uanajeshi wa jeshi hili. Idara ya uhamiaji Jijini Dare s salaam imewakamata raia 12 wa kigeni waliokuja nchi...
1 Reactions
43 Replies
12K Views
Kutokana na clip na documdntary nilizopitia. Nimekuwa fifty fifty na kile ninachofundishwa darasan kwamba marekani ndo wa kwanza kupeleka mtu mwezini kwa kutumia apolo eleven. Cha kushangaza...
0 Reactions
75 Replies
11K Views
Kumekuwepo na ongezeko la kasi ya ajabu la wageni kutoka nchi za Uturuki, Pakistan, Syria, India na China nchini Tanzania. Wageni hawa hutawakuta mahotelini wala kwenye nyumba za wageni (Guest...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Ni kweli kua imeelezewa katika Quran zaidi ya miaka 1400 iliyopita.Tujadili kidogo kisha ntaleta na topics kama ecology na embryology kutoka katika Quran. Big Bang? When describing the...
0 Reactions
79 Replies
13K Views
sio maneno yangu, nime-copy na ku-paste kutoka sehemu moja hivi. 35 Most Badass Elite Fighting Units From Around The World These are the world's most elite military teams. They're highly...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Wana JF, salamu sana. Mimi ni mtaalamu niliyebobea katika mambo ya vifo. Uliza chochote kuhusiana na kifo au vifo.
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Hivi ni kitu gani hicho, na kina nguvu gani kwa wasanii na watu wa kawaida, maana mtu asifanikiwe kdg unaambiwa ni freemason, sasa imekuwa mtu anajickia ujiko sana akiitwa freemason, wasanii wetu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii video inamuonesha jamaa akicheza na simba utadhani na yeye ni simba. Hapa najiuliza ,aswali mengi sana, lakini la msingi ni kutaka kujua kama stori tunazosikia kuhusiana na ubandidu wa simba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Timu ya wanasayansi wa anga imetangaza kwamba ipo mbioni kugundua dunia nyingine ambayo wameiita an Earth-cousin rather than an Earth twin. Inaaminika inaweza kuwa dunia nyingine ambayo watu...
3 Reactions
88 Replies
11K Views
From time to time, there is a great artist that changes the way we perceive masterpieces and other people and gives us new emotions. Still, humanity gives birth to visionaries in other domains as...
10 Reactions
57 Replies
18K Views
Nchini chile katika uwanja wa ndege wa Santiago , kulitokea wizi wa dola milioni 7 sawa na pesos bilioni 4 za chile. Fedha zilizokuwa zinasafirishwa kaskazini mwa nchi hiyo kwa ajili ya malipo ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau natumai mko salama Dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua kama hizi pesa tunazotumia kama zina mahusiano yoyote na mambo ya kishetani mana nimekua nikisikia kuwa alama zilizopo kwenye pesa...
0 Reactions
85 Replies
16K Views
Level of thinking he/she has, characters, skills, knowledge..... who Is he/she in general?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"If today will be the last day of my life kitu gani cha maana sana naitajika kukifanya in a single day" not 1week, 1month or 1year just single day ~R.I.P STEVE JOBS~ Made in mby city.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hawa ni baadhi ya matapeli wanaotumia mitandao Wapka.mobi USANII MWINGINE HUU HAPA. ATUMIWA ROSE MUHANDO https://www.facebook.com/profile.php?id=100007936515026 JIHADHARINI WANANCHI Taja wengine...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom