Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

wakuu salamu kwenu. jana nilikuwa naangalia BBC swahili star tv, kuna habari niliisikia kuhusu kituo cha anga ambacho kipo angani! nmejiulza maswali mengi kuhusu kituo hiki cha anga za juu, je...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, Habari za jioni? leo nimeifikiria sana ndege ya malaysia iliyopotea kusikojulikana MH370, sasa katika kusomasoma taarifa mbalimbali nimekutana na sasa sijajua kama ni kisiwa ama la...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
inakuaje mtu anakunywa pombe alafu akili inachangamka au kuvulugika (wengi mtakuwa mmeelewa ninachomaanisha) utakuta mtu anaogopa kufanya au kusema jambo flani akiwa katika hali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa hili habari zenu. Hua najiuliza kwa miaka mingi uwezo wa kijeshi na kijasusi wa wa nchi ndogo ya cuba ambayo ni kisiwa tu. Kwa miaka mingi nikiwa bado mdogo sana nimekua nikisikia...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
1. Utangulizi Jeshi la Polisi ni chombo cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao, kudumisha amani na utulivu katika jamii, pia kuzuia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi ni mmoja wa wale waliosoma Technical School na baadae DIT na baadae elimu ya juu zaidi katika mambo ya Uhasibu. Sikubahatika kabisa kusoma somo la Geography kwa ngazi ya sekondari...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ushauri kwenda kwa vyombo vya usalama katika kupambana na Ugaidi. Key lessons on how not to fight terrorism No! They are calling for new coalitions, using the same script. Countries such as...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Kwa ufupi: Google earth imesaidia katika mambo mengi hasa kwenye masuala ya uhandisi, kwani baadhi ya wahandisi wa barabara hawalazimiki kwenda porini kwa ajili ya kuchukua ramani au baadhi ya...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu habari za jioni, Tafadhali naomba tushee mawazo kuhusu haya mafunzo ya jkt. nini target yake hususani kwa hawa waalimu wa ngazi za cheti na manesi. je kuna uhusiano gani wa taaluma zao na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu Great Thinkers. Huwa nasumbuliwa sana kwa kutaka kujia kitu ambacho hakikupewa nafasi ya kutokea. Huwa nafikiri bila majibu juu ingekua vipi Afrika leo hii kama wale wavamizi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarizenu wakuu! Leonimekuja na mada hii ili tuweze kuijadili na tupate ukweli utakao tusaidiakutujenga wana JF hasa katika jukwaa hili la intelijensia. Katikamaisha ya kila siku, kuna...
0 Reactions
7 Replies
23K Views
Mpenzi wangu ana mshale na mimi ni ngombe ki ukweli ukijaribu kuziangalia hizo nyota haziendani hata kidogo kwani tulishaingia katika mahusiano mwanzo na kuachana hii ni kushindwa kumuhandle ki...
0 Reactions
46 Replies
13K Views
Egyptian Adel Abdul Bary, 54, as he wipes away tears while facing district judge udge Lewis Kaplan in a Manhattan court. Photograph: JANE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifikiria kila wakati na kutaka kujua kama kuna viumbe kwenye sayari zingine. Juzi tulikuwa tunapiga stori za hapa na pale. Jamaa mmoja akaanza kutuelezea kuwa kunaviumbe NASA wamewaona...
0 Reactions
69 Replies
12K Views
"Based on criminal law these individuals are sentenced to the severest punishment which is death sentence" Hivyo ndivyo Jaji Safihullah Mujadidi, alivyotoa hukumu ya kifo kwa wanaume saba. Nao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, kiukweli nimesikitishwa sana na jambo lililonikuta hivi karibuni. wiki iliyopita nlipoteza simu yangu ya mkononi aina ya SONY Xperia katika mazingira ya kutatanisha. Hata...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Nimeifanya hii kazi kwa muda mrefu ya kurekodi matukio ya rushwa katika polisi wa kawaida na wale wa barabarani. Katika ushahidi wangu nimefanikiwa kuwa na video zenye sauti na picha zikionyesha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Weingi wanadai ni namba 666 ikimaanisha Mpinzani wa mambo ya Mungu (antChrist) au Mpinga kristo. Aidha wapo wanaosema kuwa Alama hizi ni za Agent-Wakala maalum kutoka mashimoni, sasa mie...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom