Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana...
Ivi kwa nini idadi kubwa ya wachawi ni ni wanawake wengi hususani wazee na siyo wanaume kuna uhusiano gani hapa na je? Kwa nini vichaa wengi ni wanaume kuliko wanawake hili ni duniani kote?
Habarini??
Nadhani wengi wetu mmekwisha sikia hii habari ya chumaulete hasa kanda hizi za pwani kama tanga na pwani
Hivi majuzi nilikwenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anakibanda cha Mpesa...
wana JF, katika utafiti wangu mdogo, nimeona kuwa kuna watu wanaopendwa sana nje ya familia zao na kuonekana wakarimu, watoa misaada ... mara nyingi hawako hivyo ndani ya familia zao. Japo ni...
JF ivi ni kwa nini idadi kubwa ya wachawi duniani hata hapa tanzania wanao kamatwa ni wanawake hususani wazee na ni vip? ididadi kubwa ya wtu wanaougua vichaa huwa ni wanaume?
Nionavyo mimi, watanzania wengi ni waoga wa utafutaji maisha. Wengi wanapenda maisha ya dezo...kukaa tu na kusubiri kufanyiwa michongo au maisha ya gwelele. Wanapenda vitu vikubwa na masifa ya...
Habari wana inteljensia.
Naomba kufahamu sababu ya
1. Kwa nini bullet proof inavaliwa kifuani tu na kuacha kichwa kikiwa vurnerable na risasi?
2. Kwa nini mtu anae shoot mara nyingi analenga...
By Kelsey D. Atherton | Jan 22, 2014
Modular Advanced Armed Robotic System (MAARS)
MAARS is a remote-controlled gunbot. It can be fitteed with machine guns and...
habari za leo wanaforum sasa katika hii THREAD tujaribu kumshauri Rais wetu MUH. JAKAYA M.KIKWETE, tuongelee yale ambayo hawezi kuyaona kwa sababu bunge liko hoi,
yanafanywa na watendaji...
Nimekua nikishangazwa mara nyingi rais wetu anapokuwa akihutubia mikutano ,semina,warsha nk huwa anakuwa na walinzi wawili hii nikwanini?wakati tunaamini nchi yetu ni ya amani ,,
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.
Binadamu anaouwezo wa...
EMAU ENGLISH MEDIUM CHATO GEITA.
Salama wana jf,tunaweza kuonekana wambeya lakini ni hali halisi ya maisha ya watumishi waalimu na wasio waalimu katika jumuiya ta EMAU.Kitu kizuri ni...
Ili twende pamoja basi ningeshauri uwe na ramani ya dunia pembeni yako huku uki-refresh darasa lako la historia na jiografia hata kama ni ile ambayo wengi wetu tunayo; yaani ya O-Level
Nitangulie...
kazi ya ujasusi haitofautiani sana na kazi za kiroho, ndiyo maana jasusi anapokosa uzalendo anatakiwa kuacha kazi bila kujali ana uwezo kiasi gani katika tasnia hiyo.
kama ilivyo kazi ya...
wadau mi ni kijna niliyopo chuo now na nina ndoto za kuwa SOLDIER wa nchi hii tatizo linalo nitatiza ni kuwa navaa miwani coz sioni mbali zaidi ya mita 50 hivi je hili tatizo litanyima nafsi ya...
Kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH370,je tuamini uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine(aliens)au kama wataalam wanavyowaita E.B
.Es, na vifaa vyao UFOs na namna yao ya kuweza...
Hizi ni lecturer za Havard chini ya mwamvuli wa somo la philosophy lakini ukisikiliza vizuri ndo unaona wale wanaojiita watu wa "system" sehemu mbali mbali duniani ndio waaanza kutayarishwa kwa...
People lie all the time, but depending on how skilled they are, it can be difficult to determine when someone is lying to you. Do you know how to recognize the signs that someone is lying to you...
By Todd Moss and Madeleine Gleave,of the Center for Global Development.
It endeavors to show the pro and cons of the Power Africa initiative, what are the challenges and what are the stats on...
Did you know many African countries continue to pay colonial tax to France since their independence till today!When Sékou Touré of Guinea decided in 1958 to get out of french colonial empire, and...