Salaam JF!
Tanzania hivi sasa kuna staili mpya ya kupata Fedha! Huhitaji kutumia nguvu bali ni kucheza na akili ya mtu.
Kila unapopita utakuta tangazo la mganga wa kienyeji na wanaweka na...
Few books have been as influential in understanding African impoverishment as this groundbreaking analysis. Rodney shows the exploitation of the continent committed by the imperial countries of...
Mgiriki = Serikali ya Tanzania na viongozi wake nimewatia mfukoni!===== Nyerere hakuwa na mjadala juu ya hilo kwani alimtia ndani mtu huyo bila kujali yeye ni nani na hatimaye kumfukuza nchini...
Ukifuatilia sana juu ya mauaji ya kimbari huko Rwanda mwaka 1994 utaambiwa waliouwawa wengi ni watusi. Hata kwenye move nyingi zilizochezwa watusi ndio walionekana kuwawa sana.
Kwa nini watusi...
Nimekuwa nikisumbuliwa muda mrefu na swali hili Hivi huyu mkuu wa majeshi ya ulizi tanzania Aden Mwamunyange si alikuwa JKT?
Ssa swali langu ni kwamba ilikuwaje achaguliwe kuwa mkuu wa majeshi...
Hizi ni namba za matapeli wanaopigiaga watu simu na kubrainwash watu kwa stori za alinacha.
I Q yako ikiwa na 0.2kb lazima unaswe.
1) 0769354766
2) 0753126969
3) 0757183990
please...
Kwa maana ya kuwa wanatamani na kuchagua mpenzi mzuri kati ya wabaya?
Je Wanapizi (reach orgasm)?
Najua kuna wanyama kama bonobos na dolphins wenyewe wanafanya mapenzi kama binadamu kwa maana...
Nina andika hii mada nikiwa nafuraha kubwa. Vile hili taifa linauwezo mkubwa ktk idara zake za usalama wa hili taifa. Huku nikiwaonya wale wanafikiri wanaweza kununua taifa hili wajuwe kuwa siku...
WANAJF;
Kwanza naomba nideclare kwamba mimi ni Mkristo tena anayejitahidi kwa nafasi yangu kuelewa vema kile ninachoamini. Nikiwa kama Mkristo, msingi wangu wa IMANI umejengwa katika MAANDIKO...
Wana JF wenzangu, kuna kipindi nilipokuwa likizo nilitembelea mikoa ya Dodoma,Singida,Manyara na Arusha,nilichokigundua ni kuwa wafugaji karibu wote wa Ng'ombe wanakuwa na kundi la Kondoo...
Wana JF na wananchi wote Amani.
Nchi yetu ya Tanzania imekuwa ikisifiwa kuwa kisiwa cha Amani, watu wake ni wapole na wanyenyekevu.
Kutokana na utulivu uliodumu kwa takribani miaka 54 sasa...
Najaribu angalia suala la uraia wa nchi mbili na Uhalali wa akina Mandela na wenzao kutumia passport ya Tanzania na ya nchi nyingine?
Je Passpot hupewa watu wasio raia?Wenye kuelewa sana haya...
Jamani nimeskia kutoka kwenye kinywa baadhi ya wafanyakazi katika kiwanda cha A to Z arusha kuwa kuna binti kabakwa ndani ya kiwanda hicho na wahindi wanne hadi kufa, binti huyo hajulikani mahali...
7.LIBYA
6.KENYA
5.ALGERIA
4.NIGERIA
3.SOUTH AFRICA
2.ETHIOPIA
1.EGYPT
MJUMBE HAUWAWI....
Source:Most Powerful Militaries in Africa | AFKInsider
The Global Fire Power ranking, or GFP, measures...
Tanzania ndio inaongoza Afrika kwa upelelezi. "Tanzania has the best inteligency in Africa followed by South Afrika"
Source
The 10 best intelligence agency in africa - answered - Baraza
Top CCM leader secretly funding opposition party
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
A PROMINENT member of the ruling Chama Cha Mapinduzis (CCM) central committee has been secretly bank-rolling...
Kuna tetesi zimezagaa hapa Mwanza kuwa Askari wa Rwanda wamefanya shambulizi la kijeshi mpakani na Tanzania. Jee kuna ukweli wowote juu ya hili? Wenye vyanzo vizuri vya habari wafuatilie na...
*Nimekuwa najiuliza ikiambatana na kautafiti kidogo kwamba nature ya mamalia wote kitu kinachovuta madume kuwafuata majike ni raha ambazo madume huzipata wakati wa kuingilia majike, hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.