Wadau in one way or another nahitaji kumjua huyu mama ni nani hasa kwenye siasa na position yake kwenye nchi hii...
Nafahamu ni naibu waziri wa fedha....naombeni data zenu wadau.
1. Mosquito
Mosquitoes are currently the most dangerous animals present on earth. It might sound funny that this small little creature tops the dangerous animals list ahead of many larger and...
Wanajamii naomba kueleweshwa; leo kati ya maofisa 208 waliohitim TMA 15 sio raia wa Tanzania, mfano watano ni waganda, wanyarwanda watatu n.k; Swali ni kwamba hawa si wataenda kuwatonya mafunzo ya...
This is neither game nor a theory but a reality. People now are giving in to world surrendered to Satan. We have witnessed uncontrollable weapon ownership and legalized gay marriage. It is now a...
Hi All Jamii Forum member
how do you do!!!
As we are signing of the 2013 year I have been compelled to bring to your attention on how the instructor of these most of the driving school in DSM...
Ndugu wanaJf,
Nimetathmin utendaji na weledi wa marais wanne wa JMT (1961-2013),nikagundua kuwa ni katika kipindi cha utawala wa afande J.K (2005-2013) ambapo madudu mengi yamefanyika: 1)vijana...
Ndege ya British Airways aina ya Boeing 747-400 imegonga jengo dogo la ofisi kiwanjani Oliver Tambo, Johannesburg Afrika Kusini. Ilikuwa inaelekea kondoka kwenda London, Uingereza.
Inaelekea ni...
Hapa chini ni baadhi ya mbinu za kukuwezesha kufaulu interview hata kama mko wengi na wanahitajika wachache.siku zote watu wamekuwa wakifanya maandalizi duni katika interview na hivo kuambulia...
Miezi michache iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa katika vijiji vya Handeni.
Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki na...
Salama wana jf wote !
Ni ukweli usiofichika pia asilimia kubwa sana ya Watanzania nyoyo zao zinahuzunika sana hasa hili tatizo la madawa ya kulevya kuonekana kuishinda Serikali kabisa...
Inasemekana kuwa wanasayansi ktk nchi zilizoendelea wanaamini kuwa tishio kubwa kuliko lote duniani ni ongezeko la wanaadamu, wanaamini kuwa wanaadamu ndo wanaoharibu mazingira kuliko viumbe...
Ndugu zangu Watanzania
Nilichokiona Leo kinanipa Picha halisi Kwamba CCM pasina shaka inajiandaa Na Mauaji ya Halaiki Kama Yale ya Kimbari Rwanda.
Wengine hawajui niseme nilichokiona Leo...
Wasomi duniani wanajitahidi sana kutumia elimu zao katika kutatua shida mbalilmbali jamii inazokutana nazo ikiwa ni pamoja na kuwapa ushauri. Wonderful enough they fail to use their education for...
Wakuu habari zenu,
Mimi nikiwa sina kazi siku za wikiendi huwa napenda sana kwenda movie na vijana wangu juzi kati nilikuwa mmoja ya watu n waliokuwapo katika kuangalia movie mpya ya Skyfall...
Habari zenu wakuu nachukua hatua hii muhimu kwa ajili ya kuokoa nchi yangu ya tanzania dhidi ya mtu huyu ambaye ni wazi kabisa anauhusiano na kikundi cha alshaba cha nchini somalia.
Huyu bwana...
Tukiwa tunaendelea kuangalia funeral rites za Nelson Mandela, mliosikiliza hotuba ya JK ni kwamba kaeleza umati kwamba Mandela alifika Tanganyika kwa mara ya kwanza January 1962. Kwamba safari...
1. Watanzani na Wakenya, wapi wanaishi maisha ya Msoto zaidi katika maisha ya kila siku?.
2. Katika Afrika Mashariki na Kati, ni nchi gani wanaisha maisha mazuri ya kila siku?.
Seal team six ni branch ya US Special Naval operation iliyoanzishwa mwaka 1987. Ni team inayoundwa na makomandoo waliowekwa tayari kwa ajili ya special missions ambazo huwa ni high risky. Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.