Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Kwa bahati mbaya jukwaa hili limekuwa so complacent kujadili non issues na kuacha mambo ambayo ya muhim kwa nchi hii na mijawapo ni hili la National Security pamoja na National Interest. Natumai...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau, Jana muda wa jioni nikiwa pale ubungo mataa, kuna gari ilikuwa inatoka kimara na kuelekea manzese huku ikipiga king'ora kama vile ambulance. Lilipokaribia pale mataa nikaona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TOFAUTI KATI YA AKILI YA MWANAMUME NA MWANAMKE: Zifuatazo ni baadhi ya tofauti kati ya akili ya mwanaume na mwanamke,tofauti ambazo kuzijua kwake kunaweza jaalia mafungamano yetu kuto kuwa na...
7 Reactions
31 Replies
15K Views
A team of British scientists is convinced it has found proof of alien life, after it harvested strange particles from the edge of space. The scientists sent a balloon 27km into the stratosphere...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida kufika ofisi ya serikali na kukuta huduma zilizoandaliwa kwa ajili ya "wahudumiwa" zina mapungufu yaliyoachwa bila kuwekwa sawa kwa makusudi ya wazi. Kwa mfano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natumai mpo vema, Samahani naomba wale mabingwa wa mambo ya kijeshi nakijasusi wanidokeze kidogo kama hapa nchini kwetu tuna utaratibu wa kuwachukuamajambazi katili walenga shabaha...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu, hivi hoteli hizi kwa nini zilikufa na kitu gani kinaendelea sasa kuzifufua. Mwenye details naomba atujuze..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu, nilikuwa nawaombeni mnisaidie kunipa ushauri kuhusu viwanja vya kigamboni (Mjimwema) nataka kununua kiwanja huko. Lakini nafikiria hiyo kigamboni new city project ipo kwenye mjimwema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Miss Malala Yousafzai, I am writing to you in my personal capacity this may not be the opinion or policy of Tehreek-e-Taliban Pakistan or other jihadi faction or group. I heard...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Idadi kubwa ya askari polisi FFU imepelekwa wilayani kilindi ili kuongeza nguvu kwa askali wenzao ambao inaonekana kuzidiwa nguvu na kundi lililofanya vurugu iliyosababisha kujeruhiwa kwa risasi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna watu wanapenda kutembelea maeneo yanayozunguka majeshi hasa JW huku wakitembeza vitu mbalimbali kama wamachinga. Kuna kijana nilikutana naye maeneo ya kaboya akitembeza vyombo original na vya...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari Zenu, Habari yenye nimeisoma inasema kama ndugu yetu moja, Luteni wa JWTZ kule DRC amefariki leo (October 27, 2013) asubuhi saa 11h10. JWTZ(MONUSCO - UN Brigade) ilikuwa inapeleka askari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
An amazing elaborative explanation on the existance of ghosts through a scientific perspesctive, A MUST READ! Here is the link howscience | all about the "how" of science
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Nimeifuatilia kwa Muda kiasi nyuzi hii https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/530789-mungu-hayupo-nahitaji-majibu-ya-maswali-haya-ili-nikubaliane-na-kiranga.html ambayo imekutanisha watu...
33 Reactions
249 Replies
34K Views
ALHAMISI, SEPTEMBA 26, 2013 04:09 NA SARAH MOSSI *Yajigamba kufanya mashambulio muda wowote *Watanzania wapewa mafunzo ya ugaidi nje ya nchi *Polisi nchini wasema vyombo vya ulinzi viko macho...
2 Reactions
82 Replies
10K Views
Kumbukumbu zangu zinanituma kuamini hivyo. Katika Afrika ni wachache wamewahi kupata tuzo hii yenye hadhi nadhani kushinda zote. Kapata Mandela, Tutu, Wathari, n.k. Nyerere hakuwa na mchango...
2 Reactions
144 Replies
21K Views
Habari Great thinkers Ninajua kila mtu anaamini dini yake na kuamini kila kitu kipo sahihi kuhusiana na mambo yanayohusu dini yake. Lakini mimi ninasikitishwa sana na kuchokozana baina ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam wanajukwaa wenzangu. 1) Kwa kuzingatia kuwa moja ya maudhui mtambuka ya Jeshi la Polisi (PT) ni kulinda usalama wa RAIA na MALI zao. 2) Sote tunajua na kuona taasisi na maofisi (mfano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hey JF fans, it's for our good if we 'copy' what our Kenyan neighbors are doing. Read on! Source: Sabahi Online By Rajab Ramah in Nairobi October 22, 2013 Amid scathing criticism over its handling...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom