Wandugu jana nilienda kumpokea mgeni wangu toka Sri Lanka pale Julius Nyerere international Airort (Dar es Salaam). Saa 9.06 mchana Ndege ya shirika maarufu duniani Emirates iliwasili lakini...
Wakuu,
Najaribu kutafakari kwa kina, hivi ni nini kinaweza kutokea endapo hawa watafariki ghafla? Japo watu hawapendi kuongelea kifo, lakini kipo kwa ajili yetu wanadamu na hakikwepeki.
Wewe...
Nina swali moja la kiintelijensia, hivi ni rahisi kwa mgombea uraisi kuukwaa uraisi wa nchi fulani pasipo yeye kuwahi kutumikia idara yoyote ya kijasusi/ulinzi ya nchi husika.? Kwa mfano, TISS, MI...
Katika "Trending now" ya Yahoo leo kwa mujibu wa Jarida moja la Kinigeria Afrika in Mabilionia 55, Kati yao 20 ni wanigeria. Mabilionia wazee ni wawili Mohammed El fayed (Baba yake Dodi) na Manu...
Hii inatokea sana kwa walimwengu wa leo walio na dini na wasio na dini,
hapa kwetu kwa mfano kuna jamaa anauwezo wa kuongea na wadudu hasa wale wakali Nyoka, Nyuki Nk
kutokana na uwezo huo...
Huu ni msemo ambao uko na ukweli mwingi ndani yake. Leo ningependa kupima validity ya huu msemo kwa kutumia kauli za viongozi wa Tanzania. Kimsingi watz wengi hatuna ushirikiano na tuko kibinafsi...
Ati leo wanatishia kuandamana kwa sababu wataondolewa misamaha ya kodi! Leo wamecharuka na kugundua kuwa serikali inaweza kuwafanyizia wakiendelea kupiga kelele. Ati, kwa vile sasa misamaha ya...
Katika Miaka ya karibuni kumeeibuka mmomonyoko wa maadili kwenye utumishi wa umma ...kati ya mambo yalioshauriwa ili kuondoa mmomonyoko huo ,ilikuwa ni kurudisha JKT ,kwa kuanzia miaka ya mwanzo...
naota kuwa mabadiliko ya katiba yatapelekea kuwa na nchi mpya muda si mrefu ujao...
naota pia kuwa nchi hiyo itakuwa kwenye mipaka ya iliyokuwa Tanganyika kabla ya Muungano
Naota... kuwapo kwa...
The Chinese Almanac, also known as the Tung Shu, is commonly known as a book of auspicious and inauspicious dates, but there is so much more to the Tung Shu than that. It is a vast mine of...
Nini chanzo cha kuyeyuka kwa barafu katika maeneo ya arctict na antarcticta? Nadhani jibu litakua rahisi sana kama ku muuliza motto wa darasa la tano. Nalo ni kuongezeka kwa joto duniani...
Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusu
Ni ama wewe utazaliwa mwanaume au mwanamke
Kama wewe utazaliwa mwanamke uko salama,
Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili...
Kwa machungu niliyoyapata ilinibidi nikae kimya bila kusema chochote, nimeugulia kipindi chote maumivu ambayo naamini kabisa yamesababishwa na utendaji kazi mbovu wa Jeshi letu la polisi nchini...
Hapa juzi tumesikia kuwa yule lutenkanali aliyetoroka apasua vichwa ndani ya JWTZ,
Lakini kutokana na maelezo ya Meja Komba ambaye ni msemaji wa JWTZ aliwahakikishia watanzania kuwa huyo...
Nimesoma humu eti jukumu dhidi ya tishio la M23 na Al Shabab ni la serikali,hii dhana napingana nayo kabisa.
Nionavyo mimi jukumu hili ni la kila raia wa Tanzania,kwa maana kila raia ni mlinzi wa...
HELL?
Churches of Christendom have misled Christians on virtually every teaching in the Bible. The church either misinterprets, misunderstands, or mistranslates, and generally misleads the...
jamani Watanzania wenzangu mnaosafiri.au mliokuwa na mpango wa kuingia nchini Rwanda kwenye kipindi hiki, Chukuweni Tahadhari kubwa kuna Usumbufu na mateso ya hali ya juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.