Kinachonifurahisha kwa mashirika makubwa ya kijasusini kuwa wako radhi wapoteze kitu kikubwa sana kwa muda huo kuliko ku-compromiseintelligence gathering techniques zao kwa watu wengine. Juzi...
Kwanza kwa tafsiri ya kawaida ya "mfumo kristu" ni "utaratibu unaotumika kuongoza/kutawala mahali/watu kwa misingi ya dini ya kikristu"
Nchini Tanzania kumekuwepo na madai kuwa Tanzania "ni ya...
chronological age: huu ni umri wa mtu alio nao, kama una miaka 20 basi chronological age yako ni 20 years
mental age: huu ni umri wa akili ya mtu, kama una miaka 10 na unaweza kufanya vitu...
Leo mida ya saa kumi nimeenda kibaha kwa mathias. Nikiwa narudi maeneo ya kibaha stand nikasimamishwa na trafiki. Wakasema kosa langu niliovertake maeneo ya miembe saba nikasimamishwa nikakimbia...
Usiri wa watuhumiwa wa mabomu ya Arusha unatisha sasa. Watu wamekufa Olasiti na Soweto. Watu wamejeruhiwa. Watu waliteseka na kulia mno juu ya jambo hili. Wapo walioachwa wakiwa juu ya kadhia...
Kila siku najuiliza nini chanzo kkikuu na kinacho sababisha rushwa isipingue badala yake imekuwa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, kama wizi ilivyo kwa watumishi wa umma wezi huutwa wajanja...
Kuna kampuni moja imesajiliwa visiwa vya Belize inajulikana kama Kilimanjaro Capital Limited. Ukiiangalia kwa haraka haraka waweza fikiri ni kampuni ya wazawa ya Kitanzania wenye malengo ya kuleta...
Nimejawa na furaha ya ajabu mchanawa leo kwa mara ya kwanza nimepokea barua pepe kutoka international criminal court(ICC).
Mnamo tarehe 27/08/2013 nilituma barua pepe kwenda ICC nikiomba...
Ice cold beer plz.........
mtanisamehe sehemu nilizo changanya lugha.
usawa wa kijinsia maana yake ni kwamba wanaume na wanawake ni sharti wapate same treatment unless there is sound...
Habari za mchana,
Naomba Bunge letu ifanye kikao maalum ya kumhoji mkuu wa JWTZ au waziri wa ulinzi kuhusu Lt. Col. Seromba.
Watanzania wanataka kujua ukweli. Watanzania, lazima tujue huyo Lt...
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo : N G O M E Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la...
Hivi kwa wale wenye browing 9mm kuna ili la tatizo la firing pin kushindwa kuchoma risasi ili ilipuke yani unavuta trigger na inakubari lakin hailipuki na ukiangalia risasi ni kama imeguswa kidogo...
Nimekaa na kufikiria ya kwamba:
Mara nyingi tunawaambia wenzi wetu tunawapenda, na pia wakati wa kufunga ndoa tunatoa viapo na mwisho wa siku tunakabidhiwa 'a piece of paper' kuashiria muunganiko...
Jeshi letu lina udhaifu mkubwa katika 'information war'. Nina mifano miwili ya haraka haraka:
1. Vijana wetu waliposhambuliwa Darfur hivi karibuni, walijibu mapigo na kuua attackers wengi tu...
I am not sure if this topic have been posted in JF.
If you think you know something about Pyramids, may be you are Wrong. Just watch this Video and you will come out with many things connected...
Tumeusikia mkakati wa serikali ya Tanzania wa kumaliza sintofahamu zilizojitokeza baina ya Rais wetu JK; na Paul Kagame; Rais wa Rwanda kupitia kwa Waziri Mkuu Peter Pinda jana bungeni alipokuwa...
Ndugu wana JF. Salaam kwenu
....'Tumevamiwa; Mwendawazimu ametuvamia, sasa tutampiga. Nia ya kumpiga tunayo, Uwezo wa kumpiga tunao na sababu ya kumpiga tunayo'.
Ndugu, hayo yalikuwa ni maneno...
Nilikuwa siamini, lakini nimesoma maeneo mengi ya kimataifa, inasemakana Tanzania hosts not less than 20,000 twenty thousand Rwandans/Rwandese only in NGARA,KIBONGO (KIGOMA REGION) AND KAGERA...
Kabla ya RPf kuingia madarakani kwa Mtutu , kulikuwa na mazungumuzo ya Arusha muda mrefu yale Mazungumzo ambayo madhumuni yake yalikuwa kumaliza tofauti zilizopo kati ya Wananchi wa Rwanda, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.