Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Katika tukio la ugaidi la mwaka 1998 ambapo kulitokea kitendo cha kulipuliwa kwa ubalozi wa Marekani Tanzania, magaidi walitumia watu wengi sana bila kujijua, Dereva aliyepeleka bomu alijua kabeba...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Wana JF nimetoa hoja hii kwa kuwa naamini kwamba kwenye huu mtandao watu wanatoa mawazo yao kwa uhuru zaidi na kwa uwazi, mimi kwa upande wangu naona kufungia redio za dini ni kuficha tatizo kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Salaam alekum wana JF, tafadhali mnijuze kazi za usalama wa Taifa (T) na pia Mkurugenzi wake ni nani na je amefanikwa kwa kiasi gani yeye na timu yake katika kuzuia matukio mbalimbali ambayo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimetembelea website ya CIA na ku'search Tanzania Government. Nimeshangazwa na CIA kutomtambua JK na baadhi ya mawaziri wake kama ni madokta. Badala yake inawatambua madokta watatu tuu tena wote...
0 Reactions
74 Replies
10K Views
mchakato wa katiba uliokuwa ukiendeshwa na tume ya katiba nchi nzima unategemewa kutoa suluhisho juu ya maoni mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa na wananchi mbalimbali ili kwamba yale yatakayoamliwa...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Almasi Tanzania ni mzalishaji mkubwa wa almasi kwa miongo kadhaa kutoka machimbo ya Williamson, Mwadui ambako uchimbaji wa kibiashara ulianza 1925. Miamba 300 ya kimbalaiti ipo Tanzania na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkuu wa chuo cha ualimu kinampanda wilayani Iramba mkoani Singida aliyevuliwa madaraka na Naibu Waziri wa Elimu anatisha kwa ufisadi japo amekuwa mkuu wa chuo tangu mwaka 2008 yaani ni miaka...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
What is a dog? What is Love? What is definition? What is life? Naomba wanaJF tujaribu kuchemsha bongo kujibu maswali haya mafupi ya kifalsafa.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau, Heshima kwenu ! Kwa muda wa siku chache nlizokaa kwa ajili ya kupata huduma ya forodha katika mpaka huu wa Horohoro baina ya Kenya na Tanzania kwa upande wa Tanga nimegundua madudu mengi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mods naomba hii isiunganishwe na thread moja inayoendelea; reason ni kwamba ile imeshapoteza attention ya watu kwani ule mchoro ulikuwa na rangi rangi sana, sijui jamaa aliutoa wapi.
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Web sleuths scour through thousands of Boston Marathon blast pictures to identify FIVE people they think the FBI should be talking to Internet users turn detectives as they go through...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Sehemu iliyozungushiwa duara ya rangi nyekundu unaonekana mtumbwi ambao suspected bomb attack alijificha alipowatoroka polisi kwa kukimbia kwa miguu. Nyumba ya Mmiliki wa Mtumwi huo katikati...
2 Reactions
88 Replies
13K Views
Salaam wana jamvi, Nilikua naomba kujuzwa, What are the techniques which i can use to read other's mind. ==== Telepathy reading other's mindTelepathy means transmission or thoughts from one...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
  • Closed
Nimemsikia Wassira akitetea TISS kuwa imefanya kazi nzuri sana na akakumbusha enzi za ukombozi kusini mwa Africa na haiwezi kun'goa watu kucha. Pia wabunge na mawaziri wengi wamekuwa wakirejea...
6 Reactions
179 Replies
22K Views
Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania Intelligence and Security Service) ndiyo idara maarufu na inayoogopwa sana na wananchi walio wengi. Kutokana na kutoifahamu vizuri idara hii, wananchi wengi...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
  • Closed
Mfano: Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!
5 Reactions
225 Replies
30K Views
Kuna hii habari nimeipata kupitia media kuwa haya mashirika ya mifuko ya pension ati hayana hela,yameishiwa,yana hali ngumu kifedha. Binafsi hainiingii akilini ati shirika ambalo hata hawatumii...
0 Reactions
47 Replies
12K Views
Dear Friends, The meaning of life is a philosophical question concerning the significance of life or existence in general. It can also be expressed in different forms, such as "Why are we here?"...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom