Katika tukio la ugaidi la mwaka 1998 ambapo kulitokea kitendo cha kulipuliwa kwa ubalozi wa Marekani Tanzania, magaidi walitumia watu wengi sana bila kujijua, Dereva aliyepeleka bomu alijua kabeba...
Wana JF nimetoa hoja hii kwa kuwa naamini kwamba kwenye huu mtandao watu wanatoa mawazo yao kwa uhuru zaidi na kwa uwazi, mimi kwa upande wangu naona kufungia redio za dini ni kuficha tatizo kwa...
Salaam alekum wana JF, tafadhali mnijuze kazi za usalama wa Taifa (T) na pia Mkurugenzi wake ni nani na je amefanikwa kwa kiasi gani yeye na timu yake katika kuzuia matukio mbalimbali ambayo...
Nimetembelea website ya CIA na ku'search Tanzania Government.
Nimeshangazwa na CIA kutomtambua JK na baadhi ya mawaziri wake kama ni madokta.
Badala yake inawatambua madokta watatu tuu tena wote...
mchakato wa katiba uliokuwa ukiendeshwa na tume ya katiba nchi nzima unategemewa kutoa suluhisho juu ya maoni mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa na wananchi mbalimbali ili kwamba yale yatakayoamliwa...
Almasi
Tanzania ni mzalishaji mkubwa wa almasi kwa miongo kadhaa kutoka machimbo ya Williamson, Mwadui ambako uchimbaji wa kibiashara ulianza 1925. Miamba 300 ya kimbalaiti ipo Tanzania na...
Mkuu wa chuo cha ualimu kinampanda wilayani Iramba mkoani Singida aliyevuliwa madaraka na Naibu Waziri wa Elimu anatisha kwa ufisadi japo amekuwa mkuu wa chuo tangu mwaka 2008 yaani ni miaka...
Wadau,
Heshima kwenu ! Kwa muda wa siku chache nlizokaa kwa ajili ya kupata huduma ya forodha katika mpaka huu wa Horohoro baina ya Kenya na Tanzania kwa upande wa Tanga nimegundua madudu mengi...
Mods naomba hii isiunganishwe na thread moja inayoendelea; reason ni kwamba ile imeshapoteza attention ya watu kwani ule mchoro ulikuwa na rangi rangi sana, sijui jamaa aliutoa wapi.
Web sleuths scour through thousands of Boston Marathon blast pictures to identify FIVE people they think the FBI should be talking to
Internet users turn detectives as they go through...
Sehemu iliyozungushiwa duara ya rangi nyekundu unaonekana mtumbwi ambao suspected bomb attack alijificha alipowatoroka polisi kwa kukimbia kwa miguu.
Nyumba ya Mmiliki wa Mtumwi huo katikati...
Salaam wana jamvi,
Nilikua naomba kujuzwa,
What are the techniques which i can use to read other's mind.
====
Telepathy reading other's mindTelepathy means transmission or thoughts from one...
Nimemsikia Wassira akitetea TISS kuwa imefanya kazi nzuri sana na akakumbusha enzi za ukombozi kusini mwa Africa na haiwezi kun'goa watu kucha. Pia wabunge na mawaziri wengi wamekuwa wakirejea...
Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania Intelligence and Security Service) ndiyo idara maarufu na inayoogopwa sana na wananchi walio wengi. Kutokana na kutoifahamu vizuri idara hii, wananchi wengi...
Kuna hii habari nimeipata kupitia media kuwa haya mashirika ya mifuko ya pension ati hayana hela,yameishiwa,yana hali ngumu kifedha.
Binafsi hainiingii akilini ati shirika ambalo hata hawatumii...
Dear Friends,
The meaning of life is a philosophical question concerning the significance of life or existence in general. It can also be expressed in different forms, such as "Why are we here?"...