Don't Be Fooled By Cocaine Dealer at The Airport
BEWARE of fake water bottles
Be careful! At the airport or close to any custom service, never accept or help somebody to hold his/her bottle of...
Wadau nimeona niwamegee vipande vya hotuba ya Martin Luther King Jr wakati huu tunapoutafuta UTU na UTAIFA wetu tena (A Call to Conscience) . Ni hotuba yake ya Tarehe 25 March 1965, Montgomery...
Kipindi cha nyuma walikua wakiitwa mashushushu,nowadays wanaitwa usalama,walikua wanaogopeka sana zamani lakini hv sasa tunaishi nao na pia wanajulikana wengi wao,siku hizi hata wengine huwa...
Africa united in rejecting US request for military HQ
· Official admits 'a big image problem down there'
· Modified plan calls for a continent-wide network
Simon Tisdall in Washington
Tuesday...
Huwa nashangazwa sana pale usalama wa nchi unapokua mikononi mwa wageni ni aibu kwa nchi kama Tanzania miaka 50 tunaazimisha uhuru huku tukishindwa kutoa maamuzi ndani ya nchi yetu.Mfano ziara ya...
Ndg wana jf poleni na pilikapilika.
Gazeti la mwananchi toleo na 04096 la tarehe 13 septemba 2011 lilitoa mpya juu ya kashfa ya jairo kwamba kuna waraka unaokataza uchangishaji wa fedha...
PPF ni shirika la Umma kwa ajili ya kukusanya michango ya wanachama wake, kuiwekeza na kisha kuwalipa kwa usahihi wastaafu. Kumekuwa na matukio mbalimbali ya ukosefu wa uadilifu ndani ya huu mfuko...
Wan Jf
kwa mtu anayeijua kwa undani taasisi hii naomba anijuze. Inafanya kazi kama zile za Haki Elimu??!!!!! data zao nikizisoma zinanishangaza kabisa!
mwenye detail please
wengi tumeshuhudia utiwaji saini kati ya viongo wa NDC chini ya mwenyekiti wake Christant Mzindakaya na Mwenyekiti wa Sichuan Hongda Co., Ltd Liu Canglong. Na hafla yenyewe ilifanyika pale...
Nilikuwa napitia kwenye mtandao wa Reuters na kukuta hiki hapa Kituko cha Mkulo!!
Tanzania not rushing new mining taxes - finmin Sat Sep 24, 2011 8:20pm GMT
Print | Single...
Ni swali ambalo nilitaka kuliuliza a while ago lakini naona huu ni wakati muafaka. Labda swali liulizwe kwanza kabisa yeye ni nani?
Nashauri watu wa-google na ku-yahoo jina hilo na kujionea...
hivi umewahi kukwama kwenye mojawapo za elevator ambazo zinamilikwa na OTIS halafu ukapiga simu yao??shughuli inakuwaje katika kuja kutolewa humo ndani,,,mimi nafikiri pia serikali iangalie...
Nimekutana na habari kuwa upo utapeli wa aina yake ambao umeshawaliza watu wachache. Unahusiana na kundi linalokuja kwa lengo la kuja kupangisha nyumba na kufanya mambo lukuki hasa kwa watu wenye...
Kwa muda mrefu sasa, suala kuhusu kisomo cha darasani cha Dr. Slaa na hasa PhD limejitokeza mara nyingi. Kwa namna ya pekee nimeshavutiwa kuanzisha mjadala wa tafakuri ya kina kuhusu PhD ya Dr...
Katika kumbukumbu zangu tangu matumizi ya umeme kwa mfumo wa Luku yaanzishwe nchini sijawahi kusikia huduma hii kukosekana kwa siku tatu mfululizo kama ilivyokuwa kuanzia Agosti 29-2011.
Hii...
Membe suspicious of France as well as Libya - A Wikileak document shows
2nd September 2011
The whistleblower organisation Wikileaks has now decided to spill all the beans by releasing the...
Nimukuwa nafuatilia falsafa na wanafalsafa kwa ukaribu sana, na minegundua kuwa wanafalsafa wengi wanahusishwa na nchi ya Ugiriki. Wanafalsafa wote wakuu wanaonekana kutokea Ugiriki, ukianzia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.