Mimi ni mkristo nimelelewa katika ukristo tangu nikiwa mdogo.
Mwanzo tu wa biblia katika kitabu cha mwanzo 1:1-3a kunakuwa na makosa makubwa ambayo yamedumu karne na karne. Haya yalitokana na...
IJUE NYOTA YAKO
Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12...
Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na...
In Christendom ,many Christians have been believing that Jesus whom they call Christ was a historical figure and was the Son of Man.my discussion aims at exploring into the hidden identity of...
Bara la kupokea kila mgeni
Bara lenye rasilimali nyingi
Bara linalo heshimu na kunyenyekea ngozi nyeupe
Bara la kuana wenyewe kwa wenyewe
Bara lenye wajinga wengi
Bara lenye magonjwa yote...
Ninyi na rasilimali zenu safiii!!!
Hivi ikitokea mtu katekwa na watekaji aidha majambazi au magaidi, hao watekaji wakatoa tamko lao, kwamba "mtu wenu tunae, ila tutamuua kama hamtatimiza matakwa...
1.Great glaciation.
Great glaciation is the theory of the final state that our universe is heading toward. The universe has a limited supply of energy. According to this theory, when that energy...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini watu...
Salute mate..
Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa...
Salute mate;
Wanasemaga kwamba many of our battles we fight don’t exist, we make them exist because we create our own Demons. Kwamba mambo mengi yasiyo kawaida tunayoyaona hua sio halisi ila ni...
Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani...
Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa...
Januari mwaka 2001 mapema kabisa kabla ya George Bush kuapishwa na kuwa rais wa Marekani, makamu wa rais, Bwana Dick Cheney alimtumia ujumbe waziri wa ulinzi, William S. Cohen ambaye aliwekwa hapo...
Nimeamua kuandika makala hii kwa heshima ya Jukwaa hili lakini pia kwa ajili ya kuchochea udadisi lengo likiwa kumpa kila asomaye uthubutu wa kutaka kufukiri nje ya Box.
Makala hii ni mjumuisho...
Biblia katika kitabu cha Mwanzo 1:2 inaeleza
Mwanzo 1
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
Katika...
From book of john
Inspired by dune, frank Herbert
Are you ready,
Bado maamuzi ya lugha itakayotumika ndio changamoto,
Kiingereza kikitumika, waswahili watabaki nyuma lakini kiswahili...
Nadharia ya Mchezo (Game Theory) – Maelezo, Mifano, na Matumizi
Nadharia ya Mchezo ni Nini?
Nadharia ya mchezo ni tawi la hisabati linalochunguza maamuzi ya kimkakati yanayofanywa na watu au...
Salute bosses!
Sina takwimu zozote (kama alivyosisitiza Anko), lkn binafsi nahisi nimekumbwa na ugonjwa wa micropsia, yani naona kama mwaka 2017 umekua mfupi kuliko miaka mingine yote, juzi tu...
Knowledge is power..kumbe MAJINI, WACHAWI, NA BLACK MAGIC ZOTE, zinafanyika at low vibrational frequency ndio maana ili mtu alogeke lazima washushe frequency yake awe kwenye range zao.
Kwa mfano...