Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

THE HIDDEN POWER OF THE UNIVERSAL LAW NGUVU YA SHERIA ZA SIRI ZA ULIMWENGU 👉Hili ndilo Neno la Mungu, sheria 12 za ulimwengu ni sheria zilizowekwa au kusetiwa na Ile Nguvu kuu tuliyokubaliana...
31 Reactions
26 Replies
6K Views
Sio jambo la aibu wala ukabila, suala la ulinzi ni very critical ukikosea step kuna consequnces kubwa, Nchi kama India wameweza kubadilisha uwakilishi katika idara nyingi lakini kwenye jeshi...
3 Reactions
19 Replies
817 Views
Wasomi na watumishi wa dini hizi mbili yaani (Uislamu na njia ya Kristu), naomba jibu ya swali langu hili dogo tu,. Kila linapotajwa jina la YESU au la MUHAMMAD Huwa mnaongezea na maneno tena kwa...
6 Reactions
85 Replies
2K Views
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!! Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi...
64 Reactions
718 Replies
155K Views
Military Intelligence Coup: Kisa cha majasusi wa Mossad waliomhonga rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq (Mikoyan-Gurevich MiG-21) Kuanzia mwaka 1952 mpaka mwaka 1963 Isser...
91 Reactions
185 Replies
58K Views
Mchungaji Mtikila, mwanasiasa machachari wa Chama cha Upinzani cha DP aliyekuwa akiishi ya maisha yasiyoendana na hadhi yake, alikufa papo hapo kwenye ajali ya gari huku watu wote aliokuwa nao...
21 Reactions
135 Replies
32K Views
Kifo ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na kila mmoja wetu anajua kuwa siku moja, maisha yetu yatakwisha. Ingawa ni jambo lisiloepukika, kifo bado linabaki kuwa suala gumu na...
5 Reactions
29 Replies
794 Views
Kwa shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama directorate K. Hii idara ilikuwa na kazi maalumu ya kufanya bugging , kile kitendo Cha kupandikiza vinasa sauti na video camera...
125 Reactions
1K Replies
294K Views
Tunajidili namba tatu kivingine leo... Sio tatu kama tatu la hasha bali mara tatu. Tuangalie kwanza jinsi uhai unavyotengenezwa; Makutano ya jinsia mbili tofauti Kutungwa mimba Kuzaa Mfano huu...
19 Reactions
105 Replies
13K Views
Baada ya Mgogoro mkubwa wa Kanisa uliozaa Makanisa mawili - Western Roman Catholic Church na Eastern Orthodox Catholic Church mwaka 1054, Kanisa la Magharibi ambalo ni Western Roman Catholic...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
31 Reactions
1K Replies
158K Views
Wakuu, Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Kamwe huwezi kudanganya kifo. Michael Jackson alitaka kuishi kwa miaka 150. Aliteua madaktari 12 nyumbani ambao wangemchunguza kila siku kuanzia nywele hadi kucha. Chakula chake kilijaribiwa kila...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa! Nimevutiwa sana na jukwaa hili lenye hoja fikirishi na zenye mvuto wa aina yake. Leo ningependa kuanzisha mjadala wa kipekee kuhusu uwezo wetu wa kufikiri. Hivi karibuni...
2 Reactions
2 Replies
284 Views
DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake. Trump ni mtu...
30 Reactions
36 Replies
7K Views
Thanatophobia ni neno la kitaalamu lenye maana 'hofu ya kifo' (fear of death). Ukweli ni kuwa watu wengi kama sio karibu wote wanaogopa kufa. Baadhi wanaogopa ile hali ya kuwa mfu wakati wengine...
18 Reactions
62 Replies
11K Views
Majasusi wa Mossad walivyoiba mkojo wa Rais Hafez Al-Assad wa Syria kwa kutumia choo cha bandia. Rais wa zamani wa Syria bwana Hafez Assad (Baba yake na Bashar, rais wa sasa) alikuja kugundua...
46 Reactions
133 Replies
41K Views
Sasa wazee habari zenu kwanza, Heri ya mwaka mpya, Kwa upande wangu baada ya hii AI ya Deepseek kuvumbuliwa nikajua labda inaweza kuleta school of thought mbadala kabisa kwenye hill swali pendwa...
5 Reactions
7 Replies
382 Views
A contingent multitude repudiates the plausibility of a Supreme Being, yet the meticulous orchestration of cosmic mechanics inexorably intimates an omniscient Architect. Empirical inquiry...
7 Reactions
129 Replies
2K Views
Naam am back, Wadau wa JF je mnaikumbuka kashfa au skendo maarufu ya kisiasa kuwahi kutokea na kuitikisa Marekani miaka ile ya 1970s? Hii ilikuwa ni kashfa kubwa ya kisiasa iliyomkumba rais wa...
8 Reactions
22 Replies
534 Views
Back
Top Bottom