LUTENI Kanali Coelestine Seromba aneyedaiwa kutoroka ndani ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), bado hajulikani alipo hadi hivi sasa. Msemaji wa JWTZ, Meja Erick Komba ameliambia gazeti hili...
Rais wa 45 wa Marekani, Donald J Trump ni moja ya binadamu wenye mafanikio sana duniani, japo kisiasa watu wanaweza kumbeza lakini huyu ni mtu ambaye anajua maana ya mafanikio, wakati wa mahojiano...
''Usipoteze machozi ya leo kwa huzuni ya jana, dhambi ya zamani inatupa kivuli kirefu"
...................................................................................
Kisiwani Throne...
Special thread for discussing espionage business and other closely related issues:
Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.
Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa...
OPERATION BARRACUDA: "MISSION HATARI ZAIDI YA KIJASUSI KUFANYIKA AFRIKA" ILIYOSUKWA KUTAMATISHA MAISHA YA PATRICE LUMUMBA, NA KUZIMA NDOTO YA KILE KILICHOITWA MUSTAKABALI WA KONGO.
Na. Comred...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Kupotea kwa mwanasiasa Ben Saanane takribani miaka miwili iliyopita pamoja na kupotea kwa mwanahabari Azory Agwanda mwaka mmoja uliopita,kuliwashtua Watanzania walio wengi na kuibua minong'ono juu...
USHINDI WA KAMARI:
Hii ni spell rahisi itakayo kufanya ushinde michezo mbalimbali ya kamari.
lakini kumbuka kuwa kamari ni michezo mibaya na haramu lakini watu wamejikuta wakicheza na kulazimika...
Kuna dhana kwamba Biblia imejaa hadithi za kutungwa. Wasemaji wa utungaji huo wa hadithi za Biblia ni wale wapinzani wa yaliyomo hasa dhana na nadharia kwamba kuna MUNGU.
Lakini utungaji wa...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.
Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
Hello peoples..
Hebu tujisaule hapa kwa kuchanganya maarifa juu ya UTUPU kwenye ulimwengu, swali la msingi ni kuwezekana kwa hali ya utupu, namaanisha hivi mpaka sasa binadamu na teknolojia yake...
Hatimaye leo wapinzani wamefanya kile ambacho wamekuwa wakikitishia mara kwa mara kuwa wanawajua kwa majina vigogo wa ufisadi.Wamewataja kwa majina.
Habari zitafuatia...
Top Level embezzlement...
Mfahamu J. Edgar Hoover kachero aliyeogopeka zaidi katika historia ya Marekani.
1. Jina lake halisi ni John Edgar Hoover lakini alipenda kujulikana zaidi kama J. Edgar Hoover. Ni Kachero...
Kumekucha baadhi ya maeneo lakin kwingineko bado ni usiku na kwingineko inaelekea mchana,
Katika kazi zangu nimepata bahati ya kukutana na dada mmoja jina ntamuita code name MNBQX
Huyu dada...
Wahuni wa huku wana maneno mengi kuliko vitendo
Wahuni hawajiheshimu
Wahuni wanaomba mungu awalinde
Wahuni wengine wanatutishia kwamba tutaona, vipi kumbe tulikuwa hatuoni au mmelenga...
Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu...
Wakuu hii nimeikuta kwenye mtandao wa RWANDA hapo chini, kama unaona haina maana achana nayo.
TANZANIA-RWANDA: SILENT WAR IN TANZANIA
After Tanzania sent many Rwandan Tutsis back in Rwanda for...
Mawingu ni mkusanyiko wa Molekuli au Mvuke fuwele utokanao na maji au kemikali mbalimbali, unaelea angani juu ya uso wa dunia.
Suratul Nur 24:43
Je! Huoni ya kwamba m/mungu huya sukuma...
Kuna tetesi kuwa ushindi wa rais wa sasa wa Burundi umefifilisha ndoto ya wahima wote wanaoishi katika ukanda wa maziwa makuu ya kuhakisha kuwa nchi zote za ukanda huu zinatawaliwa na wao.
Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.