Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Nilikuwa naangalia hii video niliyotumiwa na rafiki ya mmoja. Kwenye video hii inaonesha tangu mtu anafungwa kwenye sanda mpaka anazikwa. Nikajiuliza ni kwa nini waislamu wanazuia wanawake...
18 Reactions
106 Replies
3K Views
Kabla ya mwili na nafsi ya Mwanadamu kuumbwa kwanza iliumbwa roho ya mtu. Mwanadamu ni kiumbe cha kiroho chenye mwili. Mwanadamu anaishi ulimwengu wa roho (Spiritual realm) na ulimwengu wa mwili...
6 Reactions
6 Replies
621 Views
Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Haya maneno yana maana mbali mbali kutegemea na muktadha wa matumizi. Sasa tuache maana zingine zote hebu naomba ufafanuzi wa haya maneno kwenye shughuli za kiusalama (jeshi la polisi, jeshi la...
7 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu amani kwenu, With due respect naomba kujuzwa masalafi ni nani na wahabi ni nani? Ni nini tofauti zao kiimani na kiutamaduni? Je, Wanachangama vipi na Waislamu wengine wa madhehebu tofauti...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Ufisadi mwingine unajulikana wazi lakini kwa kuwa umewatajirisha wanene, wengi wao, mpaka wakubwa wa polisi wanapokea mishahara kutoka kwa haka katajiri fisadi. Haka katajiri kanafumbiwa macho na...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Greetings.... Does it feel that many people do not appear to be maturing on spiritually that they are in a state of disease and in a lower vibrational state? Emotions and feelings can be...
8 Reactions
31 Replies
994 Views
BANYAMRENGE, WALOWEZI WA KITUTSI NCHINI KONGO DRC AMBAO WANADAI ARIDHI ILI WAANZISHE TAIFA LAO. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Wednesday-30/06/2021 Kilimanjaro national park Kilimanjaro...
14 Reactions
65 Replies
15K Views
Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na...
12 Reactions
142 Replies
11K Views
Majini ni mithali na hadithi zinazopatikana katika tamaduni mbalimbali duniani. Wengi wa watu hupenda kusikiliza na kusimulia hadithi za majini, ambazo mara nyingi zinahusishwa na viumbe wa ajabu...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki...
121 Reactions
2K Replies
443K Views
Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani: - Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah): "Hakuna...
2 Reactions
6 Replies
524 Views
Nani mwenye cheo kikubwa? Je, mtu kwa mfano akitolewa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je, anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani...
17 Reactions
346 Replies
84K Views
What a fantastic question! I won’t (and can’t) get into as much detail as I’d like, but I will tell the basics. Everything in the universe is a form of energy. Energy of some kind, and vibrates...
5 Reactions
85 Replies
2K Views
Chimbuko/historia ya tahajudi: Neno tahajudi limetokana na neno la kiingereza linaloitwa 'meditation' likiwa na maana ya kufikiri kwa uzingativu au kwa kujali. Neno meditation, nalo...
69 Reactions
381 Replies
162K Views
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection. Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho. Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama. Utokaji...
109 Reactions
2K Replies
476K Views
Tamaa ya kiongozi imebeba maangamizi yake na familia yake na anaowaongoza,ndio maana kumuombea kiongozi ni lazima.Hata nafasi ya cheo ni vyema kuitambua ni mojawapo ya jaribu. Angalia Daudi...
20 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari Wanabodi, Nakuja Tena na mada inayozungumzia kila kitu kuhusu Aura(Nguvu Ya Kwanza Kabisa Rahisi Ya Kufanywa Na Kila Mtu Kirahisi) Aura Ni Nini!? Wengi wamekua wakiskia tu kuhusu...
24 Reactions
281 Replies
69K Views
Wanabodi, weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha! Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wana usalama/TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa! Yaani kila mmoja ana...
19 Reactions
420 Replies
100K Views
Eeh Mungu nisamehe kama ninakufuru!! Like nini haswa kilikuwq nyuma ya shetani kuasi. Alipata hamasa binafsi au kulikuwapo na mamlaka nyingine iliompa hamasa ili washirikiane kumpindua Mungu...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Back
Top Bottom