Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Habari za mchana. Kutokana na udadisi wangu na kupitia makala nyingi nimeona niletee uzi huu Ilo nipate ujuzi kidogo kuhusu hii kitu. Area 51 ni eneo gani haswa? Ni eneo lilipo katika jangwa la...
7 Reactions
94 Replies
22K Views
Naviomba vyombo vya ulinzi nchini vimwongezee ulinzi rais Magufuli,apewe ulinzi mkali wa wanajeshi kutoka vikosi maalum waambatane naye popote anapokwenda kufanya ziara. Hatua anazozichukua za...
1 Reactions
165 Replies
25K Views
Wanabodi, Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa...
50 Reactions
191 Replies
38K Views
MUUNGANO WA KISOVIET YA URUSI: DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA 7 YA DUNIA KATIKA ULIMWENGU WA KIJAMAA, URUSI IKAWA UKOMINIST NA UKOMINIST UKAWA NDIO MOYO WA URUSI. Na. Comred Mbwana Allyamtu...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Hodi humu jamvini, Heri ya mwaka mpya wakuu, Mi ni mgeni kwa hii Id na ndo mara yangu ya kwanza kupost uzi. Kama kichwa cha uzi kisemavyo , Kwa zaidi ya miaka 30 nimekuwa mfatiliaji wa habari za...
6 Reactions
6 Replies
526 Views
Wana jf, kwanza nina masikitiko makubwa kwa vifo vya wanajeshi wetu waliouwawa Darfur. mimi napenda kueleweshwa kwa anayejua vizuri, ni mamlaka gani hutoa amri kwa jeshi letu kufanya operation...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam, Kila mara huyu Kanali wa JWTZ, msaidizi wa Rais namuona akiwa bega kwa bega na Mzee. Maswali ya kujiuliza... Je, hana likizo? Hapata misiba au sherehe? Je, haugui? Au hana visingizio...
3 Reactions
41 Replies
14K Views
Habarini wanajamvi, Najua baadhi yenu mmewahi kutamani kuingia Jeshini (JWTZ) au Usalama wa Taifa (TISS) Sasa kuna operation zipo mbili ambazo nafikiri zikifanyika au zinafanyika bila umakini...
40 Reactions
159 Replies
26K Views
napenda vile watu wengingine hapa JF wanaiponda kenya kuhusu mabomu. kumbukumbu kidogo tu, tulianza na granade hapa na pale mwishowe makubwa. ushauri ni ziba ufa ungali mdogo, usije ukajenga ufa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, kama title ya topic ilivyo kuwa SEX IS A GATE WAY TO YOUR SOUL, kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa) / zinaa ( kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au...
21 Reactions
179 Replies
45K Views
Wakuu, tujaribu kuupitia utendaji wa Magufuli katika awamu ya nne na kwa kuanzia naanza na makala hii kutoka gazeti la Tanzania Daima ========== JANA vyombo vya habari nchini vimechapisha...
1 Reactions
601 Replies
85K Views
1. Mara ya kwanza nipo Bole International Airport kwenye harakati zangu akanifuata binti mmoja mwenye asili ya Comoro na Zanzibar, nafikiri yule ni mshirazi (mbwera), akaniuliza maneno mawili...
52 Reactions
81 Replies
9K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
164 Reactions
732 Replies
140K Views
I'm always inquisitive on this matter about going to heaven if at all it exists. God created us in His image and therefore we must be the same on everything, the way we think, act, eat, talk etc...
2 Reactions
3 Replies
240 Views
Ikiwa Mazishi ni Ibada , Basi Usiingilie Ibada za Wafu . Waache Wafu Wawazike Wafu Wenzao.. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Wana Heri wafu wafao katika Bwana. Naam asema Roho, wapate...
14 Reactions
80 Replies
6K Views
Habari wakuu, Natumai mu heri na buheri wa afya ya mwili sambamba na akili. Mkihusika na kichwa cha mada hapo juu isemayao.. "Kwanini ulinizaa?" Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza...
2 Reactions
11 Replies
389 Views
JE, WAUJUA ULIMWENGU UKUPAO KILA KITU KATIKA KANUNI ZA ASILI ZA MAUMBILE? Apiov S. Lwiwa, PhD. UTANGULIZI Kama ulikua hutambui ni kwamba tunaishi katika Ulimwengu ambao umefungamana, wenye...
20 Reactions
17 Replies
1K Views
Habarini wana JF, Tuanze, (A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu. MWANZO 19:30—38 Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa...
16 Reactions
505 Replies
18K Views
vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli. kwa nini...
1 Reactions
28 Replies
934 Views
Karibu kwenye maandalizi ya sherehe, malaika wa bwana ameanza kupasha habari kwa watumishi Safari ilikuwa ni ndefu na ya kuchosha lakini kwa hapa tulipofika nisisite kusema ni haki malaika kupaa...
1 Reactions
6 Replies
370 Views
Back
Top Bottom