Binadamu kila kukicha tunazidi kupata mbinu za kuyakabili maisha..
Inafikia hatua ya kujigeuza miungu watu sasa..
Kwa kujipa uwezo wa kuwafufua binadamu waliokufa siku za nyuma,
Ndugu zangu haswa...
Wayahudi na Wapalestina ni watoto wa baba moja lakini mama tofauti. Baba yao ni mtu wa Ukaldayo ambako ndiyo Iraki ya sasa. Mtoto wa kwanza wa Abraham, Ishmael alikiwa na mama mwafrika aliyetokea...
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad
Utangulizi
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa...
According to the Bible analyst, Melkizedeck aliyekua Kuhani Mkuu na Mfalme wa Salem na kupokea fungu la kumi na kumbariki baba wa Imani ndio huyo huyo Jesus Christ (Yesu Kristo) na Nabii Elia...
Katika mji wa kisasa wa Nairobi, Anna, msichana mwenye bidii na mpenzi wa teknolojia, aliingia rasmi kwenye ulimwengu wa sarafu za kidijitali unaojulikana kama cryptocurrency. Alikuwa amesikia...
Nawasalimu wote mliopo humu ndani
Kitu chochote ambacho Mungu anakitumia kwa mazuri na satani naye anakitumia kwa ubaya..
Umewahi kujifunza pande kuu nne za dunia na majina yake ya Kaskazini...
watu wengi hawajui kifo ni nini lakini watu wengi hawajui kuwa sasa hivi unaweza ukawa mwanaume ukafa
katika re birth ukawa mwanamke au kuku ,au jiwe au kitu chochote kile samahani kama hujui usi...
Yaliyomo
A & B ==> wanadamu
C ==> Mungu
C katoa Sheria kwa A na B wapendane kama jinsi yeye anavyowapenda, ilihali wakipendana wasitendeane Ubaya.
Pia, C katoa ahadi ya Maisha ya Furaha ya Milele...
Kwa jamii nyingi duniani, kiumbe huhesabiwa ya kwamba kipo hai pale kinapozaliwa na kuonyesha dalili za kwanza za uhai. Lakini ipo mijadala dunia nzima kuhusiana na uhai wa mimba.
Kwamba mimba...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani.
Kwa mujibu wa Umoja wa mataifa, duaniani kuna nchi 195.
Katika nchi zote hizo, jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora. Maana yake...
JAMANI HUKU NDANI MSHASIKIA KUHUSU TIME TRAVELLING?
Kusafiri mbele au nyuma ya muda?
Mfano wa yule mtakatifu miaka ya juzi aliyeweza kusafiri nyuma ya muda hadi miaka 2000 iliyopita kuhudhuria...
Wakuu,
Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.
Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha...
Siku hizi inashangaza sana huku kwetu uswazi...
Unakuta hela zilizo nyingi zimechanwa pembeni kidogo hasa kwenye pembe za noti......ukiwauliza kwa nn wanachana kdogo wanasema eti ni kudhibiti hela...
wasaalam, wakuu
Ninaandika haya huku , nikijua nitapingwa zaidi kuliko kuungwa mkono.
Naandika huku nikitaraji pia dhihaka na kashfa kuliko majadaliano yenye mapenzi mema
Naandika sio kwa vile...
Watanzania wamekuwa wakifuatilia sana mwenendo mzima wa kisiasa na uchumi wa Taifa lao lakini wakiwa hawana majibu ya maswali mengi ambayo yamelikumba Taifa. Matatizo mengi sana yamelisibu Taifa...
Nawasalimia wana JF wote.
Katika mwendelezo wangu wa kuwafundisha na kuwafungua macho watu, leo nimeonelea nilete siri iliyomo katika kufunga.
Kwanza kabisa nawaomba muelewe kwamba, kuna namna...
Kiukweli ndugu wa Afrika naandika bandiko hili sio kuwa mimi ni mnazi hapana ila inaniuma kusikia kuwa ndugu zetu wanaenda Israel kuhiji au Mecca siku gani utakuja kusikia kuna papa mweusi...
JINSI YA KUFANYA MEDITATION
Meditation Ya Pumzi:
MEDITATION:
Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena.
¡¤ Wengine wanaielezea...
Kuna makala niliisoma sehemu inadai hii ni conspiracy, Assad anatafutwa. Baada ya mwanzo kutaka kuingia moja kwa moja kwa Assad, maswahiba wa Assad wakiongozwa na Urusi( na china pia) walikomaa...
Nawasalimu wote.
Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho.
Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.