Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Sote waislamu na wakristu tunaamini katika maisha baada ya kifo.Pia kwa sisi wakristu tunaambiwa mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,which means hakutakuwa na kuzaana. Sasa najaribu kujiuliza,huko...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
109 Reactions
218 Replies
40K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
298 Reactions
400 Replies
89K Views
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani...
25 Reactions
81 Replies
10K Views
Mwanzo 1:26 Mungu akasema na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa SURA yetu. Nawakaribisha wadau kwa mjadala na kufundishana.
2 Reactions
98 Replies
10K Views
Kuhusu vita ya US na nchi za Magharibi dhidi ya Waislam wa Afghanistan, Ukweli ni huu. Siri ambayo haiwekwi wazi leo naiweka wazi. Haikuwa vita ya ugaidi au ya kuwa US wanawapenda Sana wa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Kipindi kirefu tumekuwa tukijifunza na kusoma habari za Majambaz toka Mataifa ya nje. Nikakumbuka hapo nyuma nchini mwetu alikuwepo jambaz mbabe wa kimataifa katika jiji la mbeya aliyeitwa jombi...
65 Reactions
422 Replies
109K Views
wakati wa mfalme Asa wa Yuda (913-869 BC) kitabu cha pili cha mambo ya nyakati, sura ya 14. Mstari wa 9-14 kisa hiki kinasimuliwa. 9Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
habari great thinkers. Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya...
10 Reactions
779 Replies
43K Views
Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama...
85 Reactions
179 Replies
23K Views
The Marijuana Conspiracy The Real Reason why Hemp is Illegal by Doug Yurchey And I will raise up for them a plant of renown, and they shall be no more consumed with hunger in the land...
12 Reactions
107 Replies
35K Views
Habari za wakati huu wana Jamii Forums. Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, japo linaweza kuonekana kama halina mantiki kwa baadhi yenu ila ningependa kulileta kwenu. Hii dhana ya Mwaafrika...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Sina haja ya kutoa salam. Kwani najua wengi hampo salama. Nimeamua kuleta mada hii tata ili kuwafumbua macho walio wengi. Kwanza nakiri kwamba ukweli unashangaza sana. Truth is stranger tha...
47 Reactions
126 Replies
19K Views
Karibuni katika mfululizo wa Makala kuhusu UJASUSI WA KIDINI. SEHEMU YA KWANZA. WAJESUITI ( Jumuia au jamii ya YESU) Ni shirika la Kanisa Katoliki ambalo linafafanuliwa kama utaratibu wa kidini...
5 Reactions
28 Replies
7K Views
Nadhani ni wengi tumewahi kuisikia au hata kuiona picha maarufu duniani hasa kwa waumini wa dini ya kikristo ya THE LAST SUPPER iliochorwa na mtu anaedhaniwa kuwa miongoni mwa watu wenye akili...
11 Reactions
155 Replies
31K Views
ukienda vijijini ndo utashangaa hakuna mababu kama zamani,kijana wa kiume unapambana kumlidhisha mwanamke,unatafuta pesa sana ili mke wako asiliwe na wengine,kumbe unajiuwa kwa stress,unamjazia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
... Komandoo ni askari sugu, heavy duty machine na killing engines. Anapitia trainings nyingi za Hatari zikiwemo za kuvumilia mateso magumu ili wawe hard to crack and ku-develop mania during...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya madai huwa nayasikia sana kutoka kwa hawa jamaa. Sasa nina maswali kwao. Je kwanini wamefikia hatua ya kudai ya kuwa Mola muumba ni matokeo ya fikra za mwanadamu kutokana na uoga, hofu ya...
3 Reactions
493 Replies
35K Views
Katika hali ya tafakuri ya kawaida, Mungu ndiye Muumba wa vitu vyote akiwemo kiumbe binadamu! Kizazi cha binadamu hufanya watu kuongezeka kila kukicha. Ongezeko la watu na kizazi kuendelea kuwepo...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake. Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k. Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi...
2 Reactions
116 Replies
13K Views
Back
Top Bottom