Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wakuu hapa JF Nimefikiria na kutafakari sana juu ya Matukio mengi yaliyotokea katika nchi hii juu ya Kudhuru Binadamu na hata Kuuawa na ni vema nikaorodhesha matukio haya ili tutafakari je ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
.... Nijisemee mwenyewe, ni muumini wa matokeo. I liked Namna majengo yalivyokuwa yakizibuliwa na Israel missiles. Kuna kitu naomba kujifunza, ni Aina gani ya makombora bora kabisa yaliyoweza...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kifupi kabisa Freemason ni uhusiano wa moja kwa moja kati ya Mungu na wewe,kujua namna Mungu anavyotenda kazi na baadi ya siri zake na kujua dunia inavyokwenda Wanawake wote duniani ni freemason...
2 Reactions
72 Replies
19K Views
Juzi nimeangaalia Movie mpya inayoitwa The Tomorrow War baada ya kuisha nikajikuta natafakari! Je! tayari wataalamu wa mambo wameshasafiri kwenda miaka 10-20 mbele wakarudi ni jibu juu ya...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Nataka kusema kwamba, Ulaya wameitawala Libya,wanajua utamu wa utajiri wake wa mafuta. Ulaya na Marekani ndiyo wenye makampuni makubwa, “Supermajors” ya mafuta hapa duniani. Utawala wa Gaddafi...
4 Reactions
106 Replies
17K Views
ISI, Pakistan Established in 1948, Pakistan's Directorate for Inter-Services Intelligence (ISI) is one of the most notorious secret service agencies in the world. Officially, the ISI is...
35 Reactions
176 Replies
85K Views
Dunia ya mwonekano na ulimwengu wa roho HAKUNA hata kimoja kinachotupa chochote iwe hewa, iwe maji iwe udongo na vingine vyote vilivyomo. Hakitupwi kitu. Anza na uhai wa kiumbe hai chochote. Muda...
16 Reactions
92 Replies
9K Views
haya ni maelezo ya aliyewahi kuwa mfanyakazi wa CIA, ndg. Brad Robinson. muhitimu wa university of california ambaye kwa sasa anafanya kazi kama mchunguzi binafsi(private investigator) katika...
6 Reactions
17 Replies
6K Views
Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam!!. Kukabwa na Jinamizi katika ndoto kama tunavyoita ni kitendo ambacho kinawatokea watu wengi sana. Watu wengi hufikiri kwamba anayewakaba ni Jini lakini Tendo hilo kwa kitaalamu...
4 Reactions
11 Replies
42K Views
Ulimwengu Unaojulikana. Ulimwengu Ujulikanao (Observable Universe) unapanuka (expand) kwa kasi kubwa sana ya km 73.8 kwa sekunde (kwa megaparsec 1) na kwamba kadri Galaxy inavyokuwa mbali na...
15 Reactions
282 Replies
34K Views
Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa nina maswali mengi kuhusu ndoto zetu tunazoota tukilala Na sina sehemu yoyote ya kuyauliza isipokuwa kwenye jukwaa hili. Najua humu kuna manguli wa mambo hivyo majibu yatapatikana...
16 Reactions
99 Replies
18K Views
Duniani leo karibu kila aina ya muziki utakuta watu weusi wana mkono wao. Kama hawakuanzisha basi walichangia pakubwa kuanzishwa kwake. Na sehemu kubwa ni wamarekani weusi. 1.Raggae, huu mziki...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuuliza si ujinga, wengine utaalamu wetu ni kwenye kuhesabu pesa counter, Je kitendo cha huyo Traffic kumkaribia Rais namna hiyo sio Security Breach? Ukiangalia kwa umakini alikaribia mno tena...
20 Reactions
284 Replies
25K Views
Leo nazungumza na wale ambao mara tu wafumbapo kope zao aidha ni mchana au usiku basi utalii katika ulimwengu wa ndoto kujionea yaliyofichika zaidi. Mara nyingi manabii hawa ukosa majibu ya vitu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Huu uchawi uliokuwa unatumiwa zamani sana na baadhi ya jamii za kipindi hiko, inajumuisha uwezo wa ubongo kutengeneza taswira ukisaidiwa na uwezo wa jini anaitwa KABASI. Unafanyaje _Chukua picha...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana JF nimekuwa nikijiuliza hili swali,naomba wataalamu wa mambo mnisaidie kujibu hilo. Maana ukisoma maandiko ni kwamba maagizo ya kula tunda yalitolewa na Mungu kwa mwanadamu kuwa...
37 Reactions
165 Replies
19K Views
Hi Guys! Moja kwa moja kwenye mada. Niwaombe moods wasiedit majina, nikiyapa yaanze na herufi ndogo ni herufi ndogo hivyo hivyo, herufi kubwa ni herufi kubwa hivyohivyo. Haya tuendelee, nimeona...
4 Reactions
56 Replies
8K Views
Back
Top Bottom