Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Ni mtindo wa zamani wa ususi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa Hali ya kushangaza bank hizi mbili zajikuta wanapigania kupiga mnada nyumba iliyokuwa as collateral security kwa mteja wao aliyekuwa amechukua mkopo huku mteja huyo akiziacha bank hizo kwenye...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Huko Korea Kaskazini Imepitishwa AINA 28 tu ya staili z unyoa na hizi ni mojawapo
2 Reactions
5 Replies
6K Views
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale msiojua kabla Mhe. Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Prof. Pierre Nkuruzinza hajaingia msituni katika harakati alikuwa Mhadhiri (Professor) Chuo Kikuu nchini humo. Pia ni mwanadiplomasia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna wakati nilisema chakula ni ibada kiheshimiwe kisichezewe wala kutupwa...! Ukiangalia hii picha unaweza kujua nilimaanisha nini
0 Reactions
21 Replies
3K Views
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi hakuna hata uchawi wa kumrushia huyu jamaa apooze mwili na kutuacha team yetu??jinga kabiiisaaaaa
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wewe unafurahia tu mvua inavyonyesha. Fikiria upande wa pili waishio mabondeni na hali hii wanaishije! Dunia hii, we achaa tu, Swadakta kwa walionena, "usiseme twafa sema nafa"
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Naona majirani zetu hawajaridhika na mlima Kilimanjaro, Oldvai Gorge na Ngorongoro, wameamua kuiba na daraja la Kigamboni kabisa. Maajabu hayatakwisha duniani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zinatokea sana Uswaz na mechi kubwakubwa.Refa anapewa mkwanja ili kubadili halafu anashindwa kutimiza adhma.Watu wanakosa uvumilivu na kugawa kichapo kwa kwenda mbele.Yaani mtu anakupa mkwanja na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
2 Reactions
37 Replies
5K Views
BINADAMU USIKATE TAMAA HATA SIKU MOJA MUNGU YUPO ATAKUSAIDIA TU
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom