Wakati fulani unaweza kufanya vitu fulani fulani ambavyo badae ukivitafakari unabaki kujiuliza maswali kuwa ni mimi au nilikuwa nimerogwa? Najaribu kuwaza kwa sauti JPM anapoiona hii picha leo...
Rais Magufuli alitembelewa kijijini kwake Chato na rafiki yake kipenzi Raila Odinga kwa takribani siku tatu na leo Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Kenya ameondoka kurejea Kenya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.