1. mbunge wa Mwibara CCM kwa staili ya pekee akiomba kura za ujumne utumishi bungeni
2. Tena mbunge wa Mwibara akivaa kininja asiwaonee haya wahusika wa IPTL...... Huyu mbuge sijui kama amerudi...
Hawa ni watu 23,653 wanataka kufanya interview katika ukumbi wa diamond jubilee, ili kutafuta nafasi za ajira katika shirika la mapato Tanzania (TRA), wakati waliokuwa wanahitajika ni watu 40 tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.