Dk.John Magufuli amekula kiapo cha Rais na Samia Suluhu kala kiapo Makamu wa Rais.Mungu awaongoze Katika majukumu yenu mapya ya kuliongoza taifa hili.Kwa hiyo kuanzia Leo rasmi Magufuli ni Rais na...
Dk. Magufuli akikagua gwaride la Jeshi la Ulinzi na Usalama katika sherehe za kuapishwa kwake, zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam leo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.