Hakika dunia ni mwalimu mzuri sana hapa ulimwenguni.
Yule aliyejihisi amesimama kwa miguu yake kwenye mhimili mkuu leo hii yupo kwenye maficho.
Wazee naomba mtupe utofauti wa hizo picha hapo chini.
Mzuqa wanajamvi Kwa wale wapenzi wa spaghetti movie nadhani mnawakumbuka Hawa miamba watatu walizinguana Sana kwenye Hii cinema
Elli wallach a.k.a Tuko alikua bonge la comedian humo hahahahaha...
Feng shoi au horn flower ni kati ya samaki bora kabisa kati ya waliochaguliwa kutengeneza mazingira ya furaha na kuvutia katika mazingira ya nyumbani. Kwa afya bora. Samaki huyu ana aminika kuleta...
Urambo enzi hizo (1951)!
Iyo staili ya nywele ya uyo jamaa wa kushoto ilikuwa inaitwa "way" yaani nywele ziachane kama za mzungu vile!
Hata enzi hizo miembe ilikuwa mingi. Waafrica wanachimbua...
Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani.
Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.