Hii picha binafsi naona inastahili Tunzo ya kimataifa. jamaa anaendesha baiskeli juu ya reli huku treni linakuja kwa kasi nyuma yake na wala haogopi
SOURCE: ISSA MICHUZI BLOG
Wakuu,
Hapa naomba niwaalike tutaje na kujadiliana ni vivutio gani ambavyo ni vya kipekee ambavyo Mtalii hawezi kuvipata katika nchi nyingine yoyote ya Afrika mashariki au Afrika kwa ujumla...
Huu ni Uzi wa Picha za utani, za kuchekesha, kuburudisha na kufundisha kutokana na utani wa makabila mbalimbali.
Wasukuma tunataka haki yetu ya msingi ya kutambulika kama kabila photogenic zaidi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche amefika Mkoani Mwanza kukiwakilisha chama chake kwenye Ibada Maalum ya kuwaombea Wahanga wa ajali iliyonyofoa uhai wa Watu 14 , wakiwemo Waandishi wa...
Ikumbukwe kwamba ile kesi ya Ugaidi dhidi ya Mwamba Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea leo , ambako uamuzi mdogo wa mapingamizi utatolewa , Tayari Mtukufu Jaji Amekwishaanza kusoma uamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.