Kwa mara ya kwanza leo nimepanda daladala nilikuwa naskia tu habari zao ila leo nimeamini wanapata ushirikiano murua kabisa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Wale washamba mnaowekaga miguu hapo, ajali ikitokea na airbag ikifunguka hiyo miguu utaikuta shingoni😂😂😂
Miguu ikienda shingoni unakamalisha ule msemo wa kifo cha mende chali..🤣🤣🤣