Kwa Dau la tsh. 10,000/- kwa dakika, unaweza kukaa hapa kwa saa ngapi?
Hii ni sehemu ya utalii wa kuweka kambi katika maporomoko ya miamba mirefu.
'Extreme Cliff Camping'
Huu mji unaitwa Barrow unàpatikana Alaska huko ambapo jua likizama November 18 linakuja kuchomoza Januari 23 ina maana hapo katikati kwa siku takribani 67 wanakua hawaoni jua panakuwa kama usiku...
Wakuu mliowahi kuishi South haya maisha ya wazulu mnayaonaje?
Ndio maana wazungu waliamua kutufunga waafrika spidi gavana kutuletea magonjwa ya ajabu ajabu, tungeuana kwa kweli.
Wazulu jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.