<o:p>
Baadhi ya wageni waalikwa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha Bilal, (kushoto) Mama Zakia Bilal
</o:p>
Wanabodi,
Katika mitandao hivi sasa kuna treading ya picha na vituko vya mtu anayeitwa fundi maiko, inaonesha kila ujenzi wenye utata mhusika ni FUNDI MAIKO.
Naomba kujua nini kilichhotokea...