Siwezi kupoteza pesa nikalipa mlinzi kila mwisho wa mwezi wakati yeye ni binadamu kama mimi.
Wote tunaitaji kulala, kupumzika na kufanya kazi kwa mda.
Nafuga mpaka paka baunsa ukijichanganya...
Hii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania.
Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion
Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
Wanyama waliohamishwa kutoka mbuga mbalimbali za wanyama, ikiwemo serengeti, mikumi, ruaha, Ngorongoro ambao walibebwa na magari makubwa hapo juu na kupelekwa hifadhi mpya ya Burigi Chato wamehama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.