Kinachoendelea Afrika kusini ni baada ya kuwepo kwa:
1. Uongozi mbovu katika nchi,yaani kuwa na Taifa ambalo uongozi umefeli kudeliver leadership.
2. Tofauti ya kipato na maisha kati ya Tajiri...
Hapa mmefika mto Wami au pale kitonga alafu usikie dereva anatoa tangazo kama hili [emoji116][emoji116]
"Nilikwambia uachane na mke wangu lakini hukusikia" [emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]
Madiba was there too.
Muammar Ghadaffi and his female bodyguards. They were center of attention!
Jacob Zuma other wives were there too. Nompumelelo Ntuli Zuma, left, and Thobeka Mabhija...
Ni kobe mwenye asili ya kutoka Galapagos Islands
Makazi: Zimbabwe
Jina: Tommy
Uzito: Hadi kilo 250
Umri: ~miaka 201(Kuzaliwa: 1820)
NB: Anaweza kukaa mwaka bila kula chakula.
Kicheche ni mnyama jamii ya paka, mnyama huyu hujihami kwa kutoa harufu mbaya aonapo maadui, kicheche ni mnyama pekee ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, kicheche hufanya mapenzi Mara 60...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.