Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Pesa zako zote ambazo hazijashughulikiwa zitatolewa wiki hii
3 Reactions
20 Replies
934 Views
Tofaut na awamu Ile. Hivi Sasa kila Mtanzania analamba asali kwa nafasi na nchi inazidi kufunguliwa.
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakati mwingine domo lako linaweza kuwa shida 😄 🤣 😂
2 Reactions
16 Replies
571 Views
KAMA WEWE NI MUHENGA,HUYU JANJA ANAITWA NANI?
7 Reactions
56 Replies
2K Views
WAHENGA WALIOBAHATIKA KUPIMWA UZITO KWA MIZANI HIYO? HAPO NI KISHAPU SHINYANGA. INAKUWA NI SIKU MAALUM YA KUPIMWA UZITO,ENEO KWA ENEO. MIZANI INAHAMISHWA.
4 Reactions
6 Replies
410 Views
Jukumu la kuwa mshenga ni zito, linaambatana na ulaji wa chakula kizito.
10 Reactions
12 Replies
2K Views
Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975
6 Reactions
28 Replies
811 Views
Ndoo zilizotulea Ndoo bati kopo la bati🤣🤣🤣
16 Reactions
72 Replies
1K Views
Wahenga mnakumbuka hivyo vitu vya enzi zile,dondosha komenti kipi umekitumia kati ya hivyo hapo.
1 Reactions
16 Replies
611 Views
Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"? Enzi hizo hamna T.V. kwa hiyo, watoto wanajibunia michezo mbali mbali... 'Tupinge kisikio poo!" 😂😂😂...
1 Reactions
0 Replies
269 Views
Wazee wetu •peana mikono, •Salimianeni, •Uliza kulingana na familia, •Tutakiane siku njema, HII NDIYO AFRIKA, ILIYO BORA KULIKO UBINADAMU. Tuendeleze hili... PS/ Ninaweza kufanya hivyo na...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Nivumilie bro "Choppa" ipo karibu
7 Reactions
14 Replies
516 Views
Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
0 Reactions
3 Replies
361 Views
Kwa kuzingatia ubora wa makipa hawa bila ushabiki, panga kulingana na ubora wao waliowahi kuonesha kipindi wanacheza Soka kuanzia 1 hadi 5: Julio Cesar – Aliwahi kuwa bora duniani akiwa na Inter...
0 Reactions
2 Replies
272 Views
Heroiic Agustime Mrema
2 Reactions
4 Replies
451 Views
juzi nilipita iringa mitaa ya mwembetogwa nikakuta mnyalu kajenga SKYCRAPPER lake hongera zake
1 Reactions
6 Replies
364 Views
7 Reactions
21 Replies
680 Views
Back
Top Bottom