America Imeuwa wasichana na watoto wengi wa kiislamu kuliko hata boko halamu ila cha kushangaza hakuna mtu aliyezungumzia hilo, kama wazungumzavyo kuhusu wasichana waliotekwa!!!
Leo nipo kwenye misa ya kumsimika askofu Mkuu wa songea Damian Dallu. Kati ya wageni ni kapteni komba. Kwa unene ule siamini kwa uzembe huu naye ataingia msituni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.