ukinipostia picha yako umechora hii pesa yako nitaku2mia kwa tigo pesa
ukituma hii ni kwa hatoki mtu hapa
hii tutaenda andikishiana polisi ili kila mwisho wa mwezi ukachukue mzigo wako kwao...
Mtoto AMISA MALEBHI(miaka 2 na miezi sita)ambaye ana matatizo ya jicho la kushoto anahitaji msaada wa kupelekwa hospitali ya KCMC Moshi kwa ajili ya matibabu kwa atakayeguswa anaweza...
mama anataka nundu zichezewe na baba mtoto naye hapohapo kweli watoto wanakula uchafu wa baba mama kimya anaona raha tu hii ni dhuluma si haki hata kidogo.
huyu jamaa anaishi san francisco Calfonia usanii wake ni kuchora picha kwenye michanga ya beach baadhi ya picha zake hufikia ukubwa wa 100,000 sq ft,hizi ni baadhi ya picha hizo alizozichora...
Ndege hapa wanatukumbusha ujumbe flani kutoka kwa Mungu wana JF naomba tushee wewe unafikiri ni ujumbe gani?mimi nimepata ujumbe wa kuwa na furaha bila kujali matatizo niliyokuwa nayo.
Aisee mi nimejaribu sana kuscoot why hii portrait ina controversy na mystery maana sioni chochte cha ajabu thou wazungu wenyewe wanahangaika kujiuliza who is this woman na tabasamu lake limeficha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.