Ni matumaini yangu pasaka inamalizika vizuri wana JF wenzangu.
Ndoa ni jambo la baraka kwetu na hata kwa mungu.Lakini hizi ndoa za siku hizi watu hawaishi kulalamika,si hapa JF tu hata in real...
hivi ndivyo familia zetu zile za tatu katika chi ya tatu zilivyomaliza sikuku ya leo kisha watoto wakapewa shilingi 500 kwenda vibanda vya sinema za kihindi uswahili kwa wale tuliokulia vijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.