Wanajamvi hebu tofautisheni kati ya kupenda na kutamani
maana mm sielewi sana kiundani angalieni picha hzi
mniambie kuwa KUPI KUPENDA KWA DHATI NA KUPI KUTAMANI KWA DHATI?
KUPENDA KWA DHATI...
Wa-Danganyika bado Tupo usingizini Matatizo ya msingi ni Umasikini,Elimu Duni ,Afya, Maradhi, ujinga na Maendeleo ya nchi. Watu hawayazungumzi wanazungumzia Eti Sirikali mbili wengine wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.