Unapoamka asbuhi ya leo, usisahau kumshukuru Mungu huwezi jua uamkapo na kwenda huko uendako utarudi salama au lah!
Cc: #Team_picha_2014
Sent from Mchina
Jamani kuna hawa watoto wanaitwa watoto wa mitaani ( ingawa ukweli ni kuwa mitaa haizai ) nashindwa kuwapa jina litakaloeleweka. Hawa ni watoto wasiokuwa na makazi mijini na vijijini na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.