WAHENGA WALIOBAHATIKA KUPIMWA UZITO KWA MIZANI HIYO? HAPO NI KISHAPU SHINYANGA. INAKUWA NI SIKU MAALUM YA KUPIMWA UZITO,ENEO KWA ENEO. MIZANI INAHAMISHWA.
Kwa watoto wale wote wa miaka ya 70 mwishoni na 80, munakumbuka mchezo wa "KISIKIO POO!"?
Enzi hizo hamna T.V. kwa hiyo, watoto wanajibunia michezo mbali mbali...
'Tupinge kisikio poo!" 😂😂😂...
Wazee wetu
•peana mikono,
•Salimianeni,
•Uliza kulingana na familia,
•Tutakiane siku njema,
HII NDIYO AFRIKA, ILIYO BORA KULIKO UBINADAMU.
Tuendeleze hili...
PS/ Ninaweza kufanya hivyo na...
Kwa kuzingatia ubora wa makipa hawa bila ushabiki, panga kulingana na ubora wao waliowahi kuonesha kipindi wanacheza Soka kuanzia 1 hadi 5:
Julio Cesar – Aliwahi kuwa bora duniani akiwa na Inter...