Habari zenu wadau... leo naomba tujionee kisa cha huyu jamaa aliyejipatia ajali maeneo fulani hapa jijini, halafu tujadili jinsi tunavyochukulia aina hii ya usafiri...
hii ni gari iliyopata...
No one understands the plight of the tall girl more than Elisany da Cruz Silva, a 17-year-old girl from Brazil who currently stands at six feet, nine inches in height. Elisany is a remarkable girl...
Wakuu.. hivi ndivyo tembo wanavyofanywa na maharamia.... imagine mateso anayoyapata...
baada ya hapo.... pembe zinapakiwa kwa mauzo katika nchi za asia na kwingineko..
Chachu ombara katika ziara yangu hukoooo kijijini kwetu.
1. Ndizi aina mbalimbali zikiwa zimemenywa na kuekwa kwenye mtumbwi (Obwato)
2. Ndizi mbivu zikikanyagwa kwa miguu iliziweze kutoa...
kutoka kushoto waliosimama..kabanga,utafiti(aliyepiga msamba kama van damme) na OLESAIDIMU na wa chini watu8(red pullover) hii ilikuwa na mwanzoni mwa miaka ya 1990
kutoka kushoto-miss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.