Ama na Mimi kwa upande Wangu nasema wazi naunga mkono safari ya matumaini.sio ni haja ya kujibana bana ama kujificha.ila la heri mzee tunakuunga mkono.
Hii ni picha inayomuonyesha mtuhumiwa wa mauaji huko Tarime.. Picha hii ilichukuliwa wakati tayari yuko chini ya ulinzi.. Baadae alitangazwa amekufa kwenye mahojiano na Polisi..
Wakuu hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.