baada ya kufanya plastic surgery mdada mdomo ukaanza kuwa kama unavyouona.
mwingne Makalio ya mchina yayeyuka yote yaani .
kila short cut ina madhara yake.
Huyu mwanamke anaitwa Zhukova Dasha ni Girlfriend wa Roman Abramovich ameonesha dharau ya hali ya juu kwa watu weusi kwa kumkalia mdada mweusi kama kiti on Martin Luther King Day. ikiashiria...
Wakati mansion yake mpya iliyopo south beach inaelekea kukamilika, hii hapa crib yake ya sasa bwana Birdman stunna
Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.