Wazee wa Igunga kikiji cha mwanzugi jana 6/01/2014 wa liwaita viogozi wa kata kwenda kuongeanao na kauri yao ni kwamba wana kiamini chama kwa kiasi kikubwa sana...
Rais wa Marekani aliamua kukaa na hivi vichwa kubadilishana mawazo.....hivi huyu wa Kwetu yeye hapatagi muda wa kukaa na wataalam??.....ila muda wa kukaa na kina Sheikh Yahaya.....na Maimuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.