Nimepata kukutana na picha inayoonesha kalenda Jeshi la Magereza, kalenda ya mwezi wa Oktoba na kukutana na tarehe 32 Oktoba 2024.
Je, ni kwamba wamekosea au wapo sahihi!?
Karibuni humu kutuma picha Yako yoyote ya kuvutia, kufarahisha, pia hata kupunguza msongo wa mawazo. Mfano ukiwa na stress au msongo wa mawazo unaweza kutembea sehemu yenye miti au maua au misitu...
Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china
Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
Wakuu & Wanabodi wa JF.
Emu nisiwachoshe.
Sina haja ya kuongea sana au kuelezea sana kuhusu hii issue, picha yenyewe tu inaongea zaidi.
Ungekua wewe unafanyaje hapa?