miss wa kinyaru ukivaa namna hii siku ya JF Party utasababisha Kimbwaimbwai, ama kweli Iringa kuna maembe dodo..........
CC: Asprin, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Mentor, Bujibuji, jouneGwalu, Jiwe...
Gari hili limepata ajali huko nchini Nigeria, ndani yake wamekufa marafiki wanne ambao walikuwa wametoka night club nchini hum. Miili ya marehemu imepelekwa mochwari ya hospitali ya Igando...
Lileee linaonekana kwa mbali .........
Hapa linaonekana kwa karibu kidogo.......
Hapa sasa ndio linaonekana kwa karibu zaidi............
CC: KakaKiiza, Asprin, Vin Diesel, jouneGwalu, Jiwe...
SIKU chache baada ya gazeti la Ijumaa kuibua danguro la vigogo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na wahusika kutiwa mbaroni na polisi, mwishoni mwa wiki waandishi wamekifumua kijiji...
Wakiwa mochwari hospitali ya wilaya ya kahama
Jeshi la polisi wilayani Kahama Mkoani Shinyanga limefanikiwa kuwaua watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao majina yao hayajafahamika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.